Asante Mizengwe( maigizo) leo ujumbe wenu umetisha balaaa

Asante Mizengwe( maigizo) leo ujumbe wenu umetisha balaaa

Mizengwe ni the best commedy in Tanzania,mimi wengine niliisha acha kuangalia kwani sio wabunifu hata kidogo,wao wanadhani commedy ini kuvaa nguo za kike na vipini puani,na sijui kama wako aware kuwa hakuna anayeangaliaga vipindi vyao nawahurumia sana kwani naona it is good wastage of time kurusha maigizo yao na TV station zinazowalipa nazo inabidi zitambue kuwa inapofika kipindi cha hizo commedy show mbili za zamani watu wanahamia station nyingine.
 
Mizengwe Nouma sana sijawahi kosa kila JP.Kwa wale ambao walikosa kuangia..lilihusu mume kumlaumu mke kuwa anatembea nje ya ndoa au anachepuka,baada ya malumbamo Mke akashtaki kwa baba take,kuwa Mr ake anamdunda kinouma kwa kisa cha kumtuhumu anachepuka,baadae baba MKWE akapata wazo LA kwenda kwa mganga kupata uhakika..baada ya kufika kwa mganga ambae ni Mkwere hali ilikuwa hivi: Mganga alitoa sharti LA kila MTU kuruka kichungu cha ubani kama amechepuka atageuka kuwa kenge ..kimbembe kwweny kuruka..Ba MKWE akatoka nduki...Sarafina nae akagoma...na Mr ake wote waligoma..baadae mke wa mganga akamwambia nao wajaribu kuruka kama kweli hawachepuki..kazi ikawa ngumu..wakajikuta wote wanachepuka..kifupi ndio ivo
Summary nzuri asante!
 
Back
Top Bottom