Asante Mh. Mbowe!

Hivi richmond ndo sababu ya umaskini wetu??? Mbona watu na akili zenu mmekomaa richmond richmond....mnakera sana wana jf

hatuna sababu ya kuitetea Richmond na kwakua muhusika mgombea tena urais ndo maana unaona mashambuliz, escrow tunawaachia wanamajimbo km muleba&bariad
 
hatuna sababu ya kuitetea Richmond na kwakua muhusika mgombea tena urais ndo maana unaona mashambuliz, escrow tunawaachia wanamajimbo km muleba&bariad

Muhusika ni nani?? Mbona hamjamshikati??? Au mnamwogopa??? Au mnajua kuna vibosile wenu wataangukia pua mkimshtaki?? Hahahhaha mnachekesha sana....
 
kama kuna mafuriko yanakuja ni vema ukahamisha virago vyako na kuangalia hali ya usalama wa familia ili mafuriko yasikukumbe
 
Hata mimi nishaanza kumpuuza mzee huyu,sio bure usikute ndo walewale waliofaidika na ESCROW
Basi ni mali yako,tuache na ujinga wetu..

Yeyote atakaye jaribu kuzuia mabadiliko tutampuuza kama wewe
 
Good question. Sikutegemea kuwa Slaa ana price tag, hivyo siwezi shangaa tena nikisikia mwingine anenunuliwa. Maana wanasema a man has to feed his family

ata mimi sikutegemea kabisa

Imagine

Hadi Dr Slaa alieaminiwa na wengi
 
Naona uko vitani na CHADEMA...Nakuhakikishia utafeli kama walivyofeli wengine


mwanakijiji ndo msahauri mkuu wa slaa..ndiye aliyemlisha matango pori yote akisaidiwa na josephine..ambalo halijui slaa wote hawa ni double agent
 
Na kweli mpo mnaoamini ni mali ya Watanzania? well.. labda kweli mpo mnaoamini hivyo.
we Mobare matinyi kama wewe ni mzalendo mpona umekimbia nchi?

unajidai kuendesha harakati kwa remote,

kwa taarifa tu ni kuwa tulimuheshimu dr. lakini kwa aliyoyaonge juzi amechemka ameteleza,

kama ni mzalendo anawezaje kusubiri mapaka mgombea anachukua fomu, anatafuta wadhamini anarudisha fomu NNec na kuidhinishwa yeye kafungiwa na mkewe alafu anajitokeza muda muuda EL ameishakuwa mgombea, sisi tufanyeje?? tusipige kura au Necc wasitishae uchaguzi wagombea wote waenguliwe tuanze upya mchakato??
 
Mbowe mnafiki tena sana namkumbusha Dr,slaa alipoyasema hayo arumuru kwenye uchaguzi wa mp nasari mbona slishangilia na kupiga makofi,dhambi ya unafiki inawamaliza,
wewe ndio tahi***ra
 
WATANZANIA WENGI TUMESHAAMUA KUWA HATUTAMCHAGUA LOWASSA KUWA RAIS NA AMIRI JESHI MKUU WA JMT, porojo tunawaachia wapumbavu.
Give us an empirical evidence not theories. I among Tanzanians will vote for Ukawa particularly Lowassa. Nothing else. Wengi kutoka wapi hao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…