Asante Majizo na TV E

ivi kwanin kila media mpya ikianzishwa lazima ifananishwe na clouds na sio itv..eatv n.k?? .. apo ndo utakapojua kwamba watu pamoja na kuiponda clouds humu jukwaani lakin masaa 24 wanaiangalia na kuisikiliza......big up clouds kweli mti wenye matunda ndo hupigwa mawe... kama huiangalii au huisikilizi umejuaje haya unayoita makelele ya fursa...tunakufungulia dunia...fursa n.k....umeyasikia tv e au efm au eatv? tuache unafki wabongo.
 


Makelele yao tunayasikia kwa majirani wanavyolalamika station zimezidi matangazo kuliko burudani
 
IPP media wana standard inayoeleweka sana
 
Hawa jamaa wanatisha sana nimeshangaa kuikuta hapa mwanza imo pia kwenye cable tv yao ya hapa mwanza. E tv inatisha kwa kweli
 
Haya tumekusikia Sam Sasali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…