usijali Kaveli,kulima nitalima nishakuwa mzoefu.....😀😀😀😀😀
Basi mwororoo.
Yep mrembo wangu, tunakomaa na jembe then after miezi 10 tu nakununulia ka-IST ka kwendea salon.
Lakini hujanijibu baby, je 'kichongeo cha penseli' kitamudu kazi on daily basis?
-Kaveli-
Umenena mkuuHuyu ndie rais wa dunia... wasiotaka au wasiokubali wahame nchi, binafsi anankosha sana huyu n chaguo la Mungu, Mungu azidi kumpa nguvu, hekima na busata ili tz tuzidi kupaa kimaendeleo
Umesahau kuandika namba ya simu hapo mwishoni.Hakuna rais kama huyu,kwa sisi wanyonge tunajivunia wewe je?kaboresha elimu sasa hivi watoto wetu wanasoma bure hadi raha sitachoka kumpenda na kumuombea
HEKO JPM,WENYE WIVU WAJINYONGE
ya nini?Umesahau kuandika namba ya simu hapo mwishoni.
Hakuna rais kama huyu,kwa sisi wanyonge tunajivunia wewe je?kaboresha elimu sasa hivi watoto wetu wanasoma bure hadi raha sitachoka kumpenda na kumuombea
HEKO JPM,WENYE WIVU WAJINYONGE
ni kweli wanasoma bure, swali je elimu waipatayo ni bora?Hakuna rais kama huyu,kwa sisi wanyonge tunajivunia wewe je?kaboresha elimu sasa hivi watoto wetu wanasoma bure hadi raha sitachoka kumpenda na kumuombea
HEKO JPM,WENYE WIVU WAJINYONGE
Kama wewe ni demu ukifika wakati wa kulipenda lile tamko lake la Kufyatua Watoto naomba unitafute.Hakuna rais kama huyu,kwa sisi wanyonge tunajivunia wewe je?kaboresha elimu sasa hivi watoto wetu wanasoma bure hadi raha sitachoka kumpenda na kumuombea
HEKO JPM,WENYE WIVU WAJINYONGE
we huoni sasa hivi elimu bure,kazini watu wanafanya kazi vizuri yaan hadi rahaUnahitaji kupimwa afya ya akili yako wewe!
Mbona teuzi zenyewe amekwisha maliza.wewe tuendelee tu kusoma numeral pamoja.Hakuna rais kama huyu,kwa sisi wanyonge tunajivunia wewe je?kaboresha elimu sasa hivi watoto wetu wanasoma bure hadi raha sitachoka kumpenda na kumuombea
HEKO JPM,WENYE WIVU WAJINYONGE
sasa hapo ni juhudi za watoto wetu kusoma yeye keshamalizani kweli wanasoma bure, swali je elimu waipatayo ni bora?
mimi sitafuti uteuzi wowote ninapenda jinsi nchi ilivyonyooka hadi rahaMbona teuzi zenyewe amekwisha maliza.wewe tuendelee tu kusoma numeral pamoja.
Lazima tuanze na moja wakati tunataka kwenda namba mbili...ni kweli wanasoma bure, swali je elimu waipatayo ni bora?