Asante kondomu, hakika sio kwa ujanja wangu..!!

Na kama yupo exposed na virus kiwango ambacho hakijafikia kuwa detectable?
Yaani Kama virusi havijafika kwnye damu na kuonekana kwenye vipimo...haviwezi kuambukiza
 

umehadithia story ya ukweli.
ndomu ikikupasukia unakuwa kama umeshahukumiwa kifo na inasubiri saini ya mkuu wa nchi.


by the way hizi kitu zimehadimika sana siku hizi eti?
 
Nipo kwenye PEP mkuu siku ya 20 sasa, ingawaje mm ilikuwa ni hofu ya kuambukizwa kupitia mate... MaDr walikuwa wanagoma kwamba ni impossible ila mm naelewa the chance was their coz it was direct contact kati ya mate kwake na michubuko kwangu at last wakanipa hayo madonge, mziki wake haukuwa wa kitoto siku za nwanzo... now am counting 8days
 
Hii PEP inaweza kuua virus Kama havijaingia kwenye damu?
 
kunawa fasta baada ya kumaliza.gem.nimoja ya silaha nzury usikubar kukaa uteute.mda mrefu

Scientifically ni bora kukaa na uteute kuliko kuosha
Unapoosha ni unafanya mobility ya virusi kuwa rahisi
 

Badala ya kumshukuru Mungu unashukuru Condom, hatari kabisa
 
Ila naskia na kondom za cku hz ni mchakachuo mtupu.
nyingne zinaleta kans[cancer] kuwa makini mkuu uaminifu wako juu ya hyo dhana isikufanye ukaangukia pua siku za mbeleni!!!!
 
Ukufanikiwa kutana na yule dada wa dodoma maana nasikia yuko available ni wewe na dushe lako na kifutq jasho
 
Ukufanikiwa kutana na yule dada wa dodoma maana nasikia yuko available ni wewe na dushe lako na kifutq jasho


Hahhaaha yule yupo porini huko Hombolo anasema.Afu mambo ya kubet mi siyataki mtu hata hujui sura yake wala shepu yake.

Aisee "that is too much risk to bear..", mabaharia tunaangalia mzigo show kwa show..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…