Asante Kipanya!

Ni Majanga tu mbele kwa mbele....Hii Phd Hmmmmm! Inatia mashaka, tena si mashaka madogo.

kp-picha-jpg.363590

Mtelemkooo au maporomoko.....
 
Attachments

  • KP+PIcha.jpg
    KP+PIcha.jpg
    55.9 KB · Views: 62
Ni Majanga tu mbele kwa mbele....Hii Phd Hmmmmm! Inatia mashaka, tena si mashaka madogo.

kp-picha-jpg.363590

Wanazuoni wanasema dunia ni duara na inazunguka. ... mambo mengi yanayotokea na yanayoendeshwa duniani ni mzunguko yaani yanajirudia rudia. .....

Nachokiona hapo ni huyu Mwananchi wa hali ya chini kuacha au kusitisha kupata huduma au ghafi za dukani na viwandani. .... hapo muuzaji hataweza kuuza.... serikali haitakusanya kodi iliyojiwekea. ...

Uzuri wake Mungu alivyomuumba binadamu anaweza kuishi kiasilia bila kutegemea bidhaa au malighafi zinazozalishwa.....
Yaani watu wanaendelea maisha yao kama enzi za ujimaaaa. ... najua itakuwa ngumu na hapo ndo uchumi utadorora....

Pale ambapo kila mtu anajaribu kufanya matumizi yake bila kufanya manunuzi au kupunguza manunuzi mfano mboga mboga alime mwenyewe, mbolea azalishe kwa mataka yake ya nyumbani....
Kitoweo afuge kuku na samaki na akiweza kuuza kidogo basi atapata hela ya kununulia vitu vichache maisha yanasonga.

Sukari ina mbadala.... sabuni pia.... gari wanaacha wanatembea... umeme wanaacha aidha anatumia sola. .... changamoto iko kwenye nishati ya kupikia.... umeme uko juu... Gesi bei juu.... mkaa nao bei juu mafuta ya taa ndo yamepanda bei leo..... labda watumie kuni napo kuna changamoto ya kukata mti hadi upate kibali hata kama mti ni wako.

Hivi wachumi wa nchi hii wameshindwa kufanya analysis ya hii nchi yetu inakoelekea na wakauelimisha umma pamoja na kumshauri mheshimiwa.??
 
Uwe unapita na mtaa huu kwa sana tu na siyo mtaa ule mwingine tu lol. Nimeupenda mchango wako. Ni ukweli si uchumi utadorora bali umeshaanza kudorora. Nchi inaendeshwa kijeshi kwa sheria za ajabu ajabu. Hata sehemu za starehe zinatakiwa zifungwe mapema na hawa wakuu wa wilaya. Hivyo wanajua kwa mfano sehemu za starehe zikifungwa masaa mawili matatu kabla ya saa zake za siku za nyuma ni kiasi gani cha pesa Serikali inakosa kama kodi katika masaa hayo mawili matatu kwa siku, kwa mwezi na kwa mwaka? Ni Mabilioni.... Kwani kuna tatizo lipi la sehemu za starehe kufungwa saa tisa au saa kumi za usiku kwa wale ambao wanataka kujirusha mpaka masaa hayo? Nchi inaenda mrama wa mwendo kazi.

Uliyoyaandika ni kweli kabisa. Wananchi wanaweza kabisa kuamua kususa kufanya mambo mbali mbali ambayo yanaipatia Serikali hii ya kusambaza umaskini mapato yake na hivyo kushindwa kufanya mengi hata kulipa mishahara ya Wafanyakazi wa Serikali. Na kuna tetesi fagio linataka kupitishwa Serikalini ambalo linaweza kuwafagia wengi sana hivyo wakakosa ajira.

Ngoja tuangalie hii movie ya Serikali hii na sera zake za kukurupuka, lakini kama wasipoamua kubadilika basi huko mbele ya safari kuna giza nene sana.

Wanazuoni wanasema dunia ni duara na inazunguka. ... mambo mengi yanayotokea na yanayoendeshwa duniani ni mzunguko yaani yanajirudia rudia. .....

Nachokiona hapo ni huyu Mwananchi wa hali ya chini kuacha au kusitisha kupata huduma au ghafi za dukani na viwandani. .... hapo muuzaji hataweza kuuza.... serikali haitakusanya kodi iliyojiwekea. ...

Uzuri wake Mungu alivyomuumba binadamu anaweza kuishi kiasilia bila kutegemea bidhaa au malighafi zinazozalishwa.....
Yaani watu wanaendelea maisha yao kama enzi za ujimaaaa. ... najua itakuwa ngumu na hapo ndo uchumi utadorora....

Pale ambapo kila mtu anajaribu kufanya matumizi yake bila kufanya manunuzi au kupunguza manunuzi mfano mboga mboga alive mwenyewe, mbele azalishe kwa mataka yake ya nyumbani....
Kitoweo afuge kuku na samaki na akiweza kuuza kidogo basi atapata hela ya kununulia vitu vichache maisha yanasonga.

Sukari ina mbadala.... sabuni pia.... gari wanaacha wanatembea... umeme wanaacha aidha anatumia sola. .... changamoto iko kwenye nishati ya kupikia.... umeme uko juu... Gesi bei juu.... mkaa nao bei juu mafuta ya taasisi ndo yamepanda bei leo..... labda watumie kuni napo kuna changamoto ya kukata mtu hadi upate kibali hata kama mtu ni wako.

Hivi wachumi wa nchi hii wameshindwa kufanya analysis ya hii nchi yetu inakoelekea na wakauelimisha umma pamoja na kumshauri mheshimiwa.??
 
Uwe unapita na mtaa huu kwa sana tu na siyo mtaa ule mwingine tu lol. Nimeupenda mchango wako. Ni ukweli si uchumi utadorora bali umeshaanza kudorora. Nchi inaendeshwa kijeshi kwa sheria za ajabu ajabu. Hata sehemu za starehe zinatakiwa zifungwe mapema na hawa wakuu wa wilaya. Hivyo wanajua kwa mfano sehemu za starehe zikifungwa masaa mawili matatu kabla ya saa zake za siku za nyuma ni kiasi gani cha pesa Serikali inakosa kama kodi katika masaa hayo mawili matatu kwa siku, kwa mwezi na kwa mwaka? Ni Mabilioni.... Kwani kuna tatizo lipi la sehemu za starehe kufungwa saa tisa au saa kumi za usiku kwa wale ambao wanataka kujirusha mpaka masaa hayo? Nchi inaenda mrama wa mwendo kazi.

Uliyoyaandika ni kweli kabisa. Wananchi wanaweza kabisa kuamua kususa kufanya mambo mbali mbali ambayo yanaipatia Serikali hii ya kusambaza mapato yao na hivyo kushinndwa kufanya mengi hata kulipa mishahara ya Wafanyakazi wa Serikali. Na kuna tetesi fagio linataka kupitishwa Serikalini ambalo linaweza kuwafagia wengi sana hivyo wakakosa ajira.

Ngoja tuangalie hii movie ya Serikali hii na sera zake za kukurupuka, lakini kama wasipoamua kubadilika basi huko mbele ya safari kuna giza nene sana.

Mfano mzuri ni mzee Mugabe kwa ubabe wake kama kiongozi wa nchi ameipeleka nchi ya Zimbabwe uchumi wake ulikufa kabisaa na kusababisha fedha yao kushuka thamani na hadi leo hii wanatumia dola ya marekani. Hii maana yake nini..... uchumi wao ni wa marekani kwisha habari ya pulla. ..

Sidhani kama Tanzania tutafikia huko kwa kutumia dola kwenye uchumi wetu ila mambo yatabadilika sana.

Hakuna maana ya kujenga maghorofa mjini wakati watu wa kuyalipia kodi hawapo maana uwezo wa kufanya hivyo wemepokonywa na serikali. Sipingi swala la kodi ila kwani serikali ikisema inaanza kutoza kodi ya asilimia 3 kwa kila muamala au kila bidhaa itadhuru? Ni kweli serikali itakusanya pesa ndogo ila haitawavunja moyo wananchi kupambana kutafuta hela.

Nimekuwa nikiwaza huu mzunguko jinsi utavyorudi kinyume nyume pale serikali ilipotangaza hapo baadae kila manunuzi lazima yaanzie hazina au wizara ya fedha inamaana wale wote ambao walikuwa wafanyabiashara na walikuwa wakipata tender ya kuhudumia wizara tofauti tofauti za serikali sasa tender ile wakaiombee hazina. Naona urasimu na msongamano utakaokuwepo hapo, tena isitoshe inasemekena serikali yenyewe ndo itaunda idara itayokuwa inanunua na kusambaza kila wizara maana yake nini hawa waliokuwa na tenda za kusambaza stationery usafi maofisini wote hawa watakosa tender na wengine walichukua mikopo benki kuendesha ofisi na kila wapatapo tenda husaidia kufanya marejesho benki. Hawa wakishindwa kulipa mikopo yao benki itakuwa na mikopo isiyolipika mingi na kumega sehemu ya faida yake hatimaye kupata hasara hiyo itashuka kwa benki kupunguza gharama mfano kupunguza wafanyakazi na itashuka hadi ngazi ya familia wazazi watakosa kazi kipato cha familia kinayumba wakijaribu kuingia kwenye ujasiriamali wanakuta hakuingiliki. ..... watoto wanahamishwa shule kurudi shule za kata maana ada hazilipiki huko kata elimu iko chini stress kila mahali......
Sijui tunazidi kujiloga au tunatafuta jinsi ya kuuana kwa kuwindana. .... muelekeo si mzuri.

Fikiria pia mzunguko wa mahoteli kukosa biashara na benki na wafanyakazi hadi familia. ...

Fikiria mzunguko wa watalii kuacha kuja mbuga za Tanzania kwa kukwepa kodi hadi ngazi ya biashara ya tour hadi ngazi ya mfanyakazi shuka familia.....
Hali ni tete.....
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mtaa huu unakuhusu sana usiwe unaishia kule tu. Unashusha vitu vilivyoenda shule, hongera zako. Membe alimwambia huyu huwezi kubana kiasi hicho bila uchumi wa nchi kutetereka na alikuwa mkweli sasa tunaona baadhi ya mahoteli mengi nchini yameanza kuachisha wafanyakazi wengi sana na hivyo kuendelea kupunguza mzunguko wa ngawira nchini.

NI MAJANGA makubwa sana na hii bajeti hewa si ajabu deficit inaweza kuwa trilioni 10 mpaka 15 kutokana na kushuka kwa ukusanyaji wa mapato na kwa hii Serikali wasivyo wakweli katika mambo mbali mbali wanaweza kuuficha ukubwa wa budget deficit. Na wameshaamua kwenda kwenye mabenki ya biashara ndani na nje ya nchi sasa shuhudia deni la Taifa litakavyopaa. Mwakani linaweza kabisa kufikia trilioni 55 au hata zaidi, ongezeko la trilioni 10 au zaidi katika mwaka mmoja tu.

Hawakukosea waliosema tutaisoma namba. Majanga haya wahusika ni wale wapiga debe wawili wa huyu jamaa.

Mfano mzuri ni mzee Mugabe kwa ubabe wake kama kiongozi wa nchi ameipeleka nchi ya Zimbabwe uchumi wake ulikufa kabisaa na kusababisha fedha yao kushuka thamani na hadi leo hii wanatumia dola ya marekani. Hii maana yake nini..... uchumi wao ni wa marekani kwisha habari ya pulla. ..

Sidhani kama Tanzania tutafikia huko kwa kutumia dola kwenye uchumi wetu ila mambo ya tabard ilikatika sana.

Hakuna maana ya kujenga macho rota mjini wakati watu wa kuyalipia kodi hawapo maana uwezo wa kufanya hivyo wemepokonywa na serikali. Sipendi swala la kodi ila kwani ukisema naanza kutoza kodi ya asilimia 3 kwa kila muamala au kila bidhaa itadhuru? Ni kweli serikali itakusanya pesa ndogo ila haitawavunja moyo wananchi kupambana kutafuta hela.

Nimekuwa nikiwaza huu mzunguko jinsi utavyorudi kinyume nyume pale serikali ilipotangaza hapo baadae kila manunuzi lazima yaanzie hazina au wizara ya fedha inamaana wale wote ambao walikuwa wafanyabiashara na walikuwa wakipata tender ya kuhudumia wizara tofauti tofauti za serikali sasa tender ile wakaiombee hazina. Naona urasimu na msongamano utakaokuwepo hapo, tena isitoshe inasemekena serikali yenyewe ndo itaunda idara itayokuwa inanunua na kusambaza kila wizara maana yake nini hawa waliokuwa na tenda za kusambaza stationery usafi maofisini wote hawa watakosa tender na wengine walichukua mikopo benki kuendesha ofisi na kila wapatapo tenda husaidia kufanya marejesho benki. Hawa wakishindwa kulipa mikopo yao benki itakuwa na mikopo isiyolipika mingi na kumega sehemu ya faida yake hatimaye kupata hasara hiyo itashuka kwa benki kupunguza gharama mfano kupunguza wafanyakazi na itashuka hadi ngazi ya familia wazazi watakosa kazi kipato cha familia kinayumba wakijamii kuingia kwenye ujasiriamali wanakuta hakuingiliki. ..... watoto wanahamishwa shule kurudi shule za kata maana ada hazilipiki huko kata elimu uko chini stress kila mahali......
Sijui tunazidi kujiloga au tunatafuta jinsi ya kuuana kwa kuwindana. .... muelekeo si mzuri.

Fikiria pia mzunguko wa mahoteli kukosa biashara na benki na wafanyakazi hadi familia. ...

Fikiria mzunguko wa watalii kuacha kuja mboga za Tanzania kwa kukwepa kodi hadi ngazi ya biashara ya tour hadi ngazi ya mfanyakazi shuka familia.....
Hali ni tete.....
 
Duhh hiyo mizigo inayosafirishwa imeanza kuanguka na dereva yuko kasi kwenye mtelemko mkali!

Kuna biashara kwenye serikali hii zinafungwa nyingine zishafungwa na kuna nyingi zinazoelekea kufungwa......
Huo ni zaidi ya mteremko. .... hapo ji maporomoko na ni uelekeo wa kuanguka.
 
Mtaa huu unakuhusu sana usiwe unaishia kule tu. Unashusha vitu vilivyoenda shule, hongera zako. Membe alimwambia huyu huwezi kubana kiasi hicho bila uchumi wa nchi kutetereka na alikuwa mkweli sasa tunaona baadhi ya mahoteli mengi nchini yameanza kuachisha wafanyakazi wengi sana na hivyo kuendelea kupunguza mzunguko wa ngawira nchini.

NI MAJANGA makubwa sana na hii bajeti hewa si ajabu deficit inaweza kuwa trilioni 10 mpaka 15 kutokana na kushuka kwa ukusanyaji wa mapato na kwa hii Serikali wasivyo wakweli katika mambo mbali mbali wanaweza kuuficha ukubwa wa budget deficit. Na wameshaamua kwenda kwenye mabenki ya biashara ndani na nje ya nchi sasa shuhudia deni la Taifa litakavyopaa. Mwakani linaweza kabisa kufikia trilioni 55 au hata zaidi, ongezeko la trilioni 10 au zaidi katika mwaka mmoja tu.

Hawakukosea waliosema tutaisoma namba. Majanga haya wahusika ni wale wapiga debe wawili wa huyu jamaa.

Hahahahaaa BAK nashukuru kwa kutambua mchango wangu... wajua mie napenda sana masihara lakini si kuwa mambo ya uchumi siyatambui. ... nayatambua maana hakuna jinsi unaishi bila kuhusika na uchumi. Uwe unaniita basi maana kule kumenikolea utasema nina hisa hehehee

Back to the topic
Ningekuwa na nafasi ya kumshauri mheshimiwa na akayafanyia kazi mawazo yangu basi ningemwambia;

Uchumi wetu ndo unakua tena wawekezaji wengi wanamiminika kuja kuwekeza hasa TZ maana return on investment -ROI ni kubwa ukilinganisha na nchi zenye uchumi ambao umeshakuwa saturated yaani wamefikia peak hata ukiwekeza huko return ya ulichowekeza inakuwa ndogo au no return at all.
Hivyo asingeongeza kodi kwenye soko la mitaji kama vile ndugu Moremi wa DSE alivokuwa akifafanua. Hii itavunja nguvu wadau walianza kupata uelewa wa kuwekeza kwenue masoko ya mitaji. Sawa serikali iweke tozo la kodi ila asilimia isiwe 10 toka sifuri unawakatisha tamaa wadau. Kila anayewekeza hela yake mahali anategemea irudi hata kama si kwa kiwango kikubwa walau itayompa faida ya kula na kuendelea kuwekeza.

Nikigeukia upande wa pili makampuni ya simu migodi hawa wanapata faida kubwa sana kwasababu bidhaa zao zinatumika na kununuliwa kila leo. Waaangalie hizi kampuni ziingie kwenye soko la hisa umma upewe nafasi ya kununua hizo hisa nao wafaidike kwa gawio na kuongeza vipato vyao.
Serikali ingeangalia mikataba ya kampuni za madini na iyafanyie marekebisho na kukusanya mapato yanayostahili.

Serikali ikitegemea kukusanya kodi kutoka kwa Mwananchi wakati huo huo inamminya na kumkandamiza Mwananchi huyu hataweza kuonesha ushirikiano na kulipa kodi. Halafu hata ukitaka Mwananchi huyu alipe kodi kubwa kwa kila afanyalo basi kuwa na return kwa huyu Mwananchi kama huduma ya jamii mfano Mwananchi huyu akute barabara hadi za vitongoji zote zinapitika kwa misimu yote. Hospitali zihudumie kikamilifu watoto chini ya miaka 5 bure kwa gonjwa lolote na wazee waliostaafu. Kinyume chake watoto chini ya miaka 5 wanapata huduma bure ya kliniki tuu kupima uzito na chanjo, japo si haba ila bado. Ukimkamua mzazi mfariji kwa matibabu ya mtoto na mzazi wake ambaye saa hizo ni mstaafu.

Bomu jingine ni lile la kuwanyonya wafanyakazi.... kwa kukusanya pesa zao za pension halafu serikali isizitoe hadi mtu huyu afikishwe umri wa miaka 55..... changa la macho hili la wazi wazi....
Hapa wafanyakazi wakiwaza mbali watasema hii michango tunaitoa sadaka tuu maana kuja kuipata ukiwa umezeeka thamani yake haitakuwa ikikidhi haja za mstaafu huyo maana hata formula wameibadilisha.... (PSPF).... hapa siasa zimeingilia kati.
Mfanyakazi kwa kuhofia uzee wake usiwe mbaya ndo hao wananza kuiba... si sawa ila bora wafanyakazi waruhusiwe wajiwekee pension zao ambazo wataamua kuziwekeza kwenye masoko ambayo yatarejesha hela kwa wakati......
Hizi pension zetu hela asilimia 80 imewekezwa kwenye majengo. ... jamani angalieni ile PPF Tower pale ohio wapanga ji wengi wamehama hii maana yake nini hawakusanyi tena kodi kama walivyotarajia. Vivyo hivyo NSSF pale azikiwe wapangaji wengi wamehama...... fedha za wafanyakazi return yake kwenye majengo ni ndogo sana au ni kama haipo.

Serikali ina mahali pengi pa kufanya kazi ikishirikiana na wananchi kwa kuwaelezea nini tufanye. ... pamoja itawezekana ila kibabe ataachiwa kila kitu utashangaa gafla nae ataanza kusafiri kama alivokuwa mkwere maana kila kitu kinasimama na kila mtu anamtizama yeye....
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwi kwi kwi kwi lol! Nimekuelewa sana tu hapo kwenye bold lol! Unajua huku akina dada ni wachache sana wanaochangia vitu vilivyoenda shule ndiyo sababu nimefurahi kukuona huku. Una uelewa mkubwa tu wa mtaa huu.

Hahahahaaa BAK nashukuru kwa kutambua mchango wangu... wajua mie napenda sana masihara lakini si kuwa mambo ya uchumi siyatambui. ... nayatambua maana hakuna jinsi unaishi bila kuhusika na uchumi. Uwe unanitia basi maana kule kumenikolea utasema nina hisa hehehee

Back to the topic
Ningekuwa na nafasi ya kumshauri mheshimiwa na akayafanyia kazi mawazo yangu basi ningemwambia;

Uchumi wetu ndo unakua tena wawekezaji wengi wanamiminika kuja kuwekeza hasa TZ maana return on investment -ROI ni kubwa ukilinganisha na nchi zenye uchumi ambao umeshakuwa saturated yaani wamefikia peak hata ukiwekeza huko return ya ulichowekeza inakuwa ndogo au no return at all.
Hivyo asingeongeza kodi kwenye soko la mitaji kama vile ndugu Moremi wa DSE alivokuwa akifafanua. Hii itavunja nguvu wadau walianza kupata uelewa wa kuwekeza kwenue matokeo ya mitaji. Sawa serikali iweke tozo la kodi ila asilimia isiwe 10 toka sifuri unawakatisha tamaa wadau. Kila anayewekeza hela yake mahali anategemea irudi hata kama si kwa kiwango kikubwa walau itayompa faida ya kula na kuendelea kuwekeza.

Nikigeukia upande wa pili makampuni ya simu migodi hawa wanapata faida kubwa sana kwasababu bidhaa zao zinatumika na kununuliwa kila leo. Waaangalie hizi kampuni ziingie kwenye soko la hisa umma upewe nafasi ya kununua hizo hisa nao wafaidike kwa gawio na kuongeza vipato vyao.
Serikali I angalia mikataba ya kampuni za madini na iyafanyie marekebisho na kukusanya mapato yanayostahili.

Serikali ikitegemea kukusanya kodi kutoka kwa Mwananchi wakati huo huo inamminya na kumkandamiza Mwananchi huyu hataweza kuonesha ushirikiano na kulipa kodi. Halafu hata ukitaka Mwananchi huyu alipe kodi kubwa kwa kila afanyalo basi kuwa na return kwa huyu Mwananchi kama huduma ya jamii mfano Mwananchi huyu akute barabara hadi za vitongoji zote zinapitika kwa misimu yote. Hospitali zihudumie kikamilifu watoto chini ya miaka 5 bure kwa gonjwa lolote na wazee waliostaafu. Kinyume chake watoto chini ya miaka 5 wanapata huduma bure ya kliniki tuu kupima uzito na chanjo, japo si haba ila bado. Ukimkamua mzazi mfariji kwa matofali ya mtoto na mzazi wake ambaye saa hizo ni mstaafu.

Bomu jingine ni lile la kuwanyonya wafanyakazi.... kwa kukusanya pesa zao za pension halafu serikali isizitoe hadi mtu huyu afikishwe umri wa miaka 55..... changamoto la macho hili la wazi wazi....
Hapa wafanyakazi wakiwa za mbali watasema hii michango tunaitoa sadaka tuu maana kuja kuipata ukiwa umezeeka thamani yake haitakuwa ikikidhi haja za mstaafu huyo maana hata formula wameibadilisha.... (PSPF).... hapa siasa zimeingilia kati.
Mfanyakazi kwa kuhofia uzee wake usiwe mbaya ndo hao wananza kuiba... si sawa ila bora wafanyakazi waruhusiwe wajiwekee pension zao ambazo wataamua kuziwekeza kwenye masoko ambayo yatarejesha hela kwa wakati......
Hizi pension zetu hela asilimia 80 imewekezwa kwenye majengo. ... jamani angalieni ile PPF Tower pale ohio wapanga ji wengi wamehama hii maana yake nini hawakusanyi tena kodi kama walivyotarajia. Vivyo hivyo NSSF pale azikiwe wapangaji wengi wamehama...... fedha za wafanyakazi return yake kwenye majengo ni ndogo sana au ni kama haipo.

Serikali ina mahali penzi pa kufanya kazi ikishirikiana na wananchi kwa kuwaelezea nini tufanye. ... pamoja itawezekana ila kibabe ataachiwa kila kitu utashangaa gafla nae ataanza kusafiri kama alivokuwa mkwere maana kila kitu kinasimama na kila mtu anamtizama yeye....
 
Kwi kwi kwi kwi lol! Nimekuelewa sana tu hapo kwenye bold lol! Unajua huku akina dada ni wachache sana wanaochangia vitu vilivyoenda shule ndiyo sababu nimefurahi kukuona huku. Una uelewa mkubwa tu wa mtaa huu.

Hahahahahahaa BAK bana nimekosea kutype looh nimeenda kurekebisha fasta hahahahhaaa

Nahofia msuli akiona hapo anaweza akakununia buree na mie akanimwagia maji ya moto buree kumbe Kasie wa watu hana hata hiana hehehehehehee.

Wadada wengi tu wavivu wa kuchangia maswala ya uchumi kwasababu ilizoeleka tangu enzi zile kuwa uchumi unaendeshwa na kina baba sie tupewe hela ya ku budget chakula cha mwezi mzima basi na ufugaji. Lakini siku hizi uchumi na sisi unatuhusu hasa pale unapokuta familia inaendeshwa na mwanamke... Mfano nafasi ya Spika aliyepita wafikiri familia ilikuwa haimuangalii kama kusaidia mambo ya uchumi wa familia? Kwa nafasi yake hata kama mumewe alikuwepo vitu vingi alikuwa anavikava. Hata naibu Spika wa sasa anahudumia familia yake kwa nafasi kubwa kuliko mumewe kutokana na nafasi yake hapo mwanamama huyo hulazimika kujihusisha na mambo ya uchumi unavokwenda.

Siku hizi familia nyingi zimegawana baba anajenga nyumba na kulipia gharama za usafiri yaani mafuta ya gari au vacation zote za familia kwa mwaka mzima. Wakati mama analipia ada za watoto kuhakikisha chakula kipo mwaka mzima matibabu wote wanatumia kadi za insurance za ofisini. Kama ni wajasiriamali NHIF ndo ina husika hapo maana matibabu in cash payment nayo ni mzozo.

Thanks my friend BAK... A hug and a kiss won't harm sio.... mmuah! !;)
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ahsante sana wala usijali najua ulikosea kwani vidole huteleza, na MSULI hatatia neno wala kuanza kukusaka MUJINI ili akumwagie maji ya moto. Uwe na amani tu badala ya kutembea na hofu. Usiku mwema.

Hahahahahahaa BAK bana nimekosea kutype looh nimeenda kurekebisha fasta hahahahhaaa

Nahofia msuli akiona hapo anaweza akakununia buree na mie akanimwagia maji ya moto buree kumbe Kasie wa watu hana hata hiana hehehehehehee.

Wadada wengi tu wavivu wa kuchangia maswala ya uchumi kwasababu ilizoeleka tangu enzi zile kuwa uchumi unaendelea na kina baba sie tuweze hela ya ku budget chakula cha mwezi mzima basi na ufugaji. Lakini siku hizi uchumi na si unatuhusu hasa pale unapokuta familia inaendeshwa na mwanamke... Mfano nafasi ya Spika aliyepita wafikiri familia ilikuwa haimuangalii kama kusaidia mambo ya uchumi wa familia? Kwa nafasi yake hata kama mumewe alikuwepo vitu vingi alikuwa anavikava. Hata najibu Spika wa sasa anahudumia familia yake kwa nafasi kubwa kuliko mumewe kutokana na nafasi yake hapo mwanamama huyo hulazimika kujirusha na mambo ya uchumi unavokwenda.

Siku hizi familia nyingi zimegawana baba anapenda nyumba na kulipia gharama za usafiri yaani mafuta ya gari au vacation zote za familia kwa mwaka mzima. Wakati mama analipia ada za watoto kuhakikisha chakula kipo mwaka mzima matibabu wote wanatumia kadi za insurance za ofisini. Kama ni wajasiriamali NHIF ndo ina husika hapo maana matibabu in cash payment nayo ni mzozo.

Thanks my friend BAK... A hug and a kiss won't harm sio.... mmuah! !;)
 
Ahsante sana wala usijali najua ulikosea kwani vidole huteleza, na MSULI hatatia neno wala kuanza kukusaka MUJINI ili akumwagie maji ya moto. Uwe na amani tu badala ya kutembea na hofu. Usiku mwema.

Amina nawe pia rafiki.
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Similar Discussions

Back
Top Bottom