kyanaKyoMuhaya
JF-Expert Member
- Jul 8, 2012
- 1,952
- 938
Mheshimiwa rais mstaafu, yote tisa, kumi ni hili la kukabidhi kijiti kwa Magufuli.Baada ya miaka 5, sitashangaa kuona CCM kutofanya Campaign na hela za kazi hiyo kufanya kitu muhimu kwa ajili ya nchi, na watu ndio watajua mchango wako na kuona hukufanya kosa.