Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,471
- 12,374
Ama kwa hakika hii ni maboresho ya jeshi letu la polisi,sasa tuwe watii wa sheria bila shurti...
Tatizo sio sura, ni kufuata sheria bila shuruti.Sura nyepesi namna hiyo atamkamata nani?
Sura nyepesi namna hiyo atamkamata nani?
Edo Kumwembe ana kamsemo kake, eti ujikamatishe.
Msiangalie sura zao tuu ndio mkawajaji hao wameiva wazi??