Hata Mimi nawapongeza hii biashara ya mwanamke tabia imepitwa na wakati sasa hivi sura kwanza tabia ntamfundisha mwenyewe hongereni jeshi retu pendwa kwa kushusha vitu vya Ukweli wapangiwe vituo vya dar ndio watafanya kazi vizuri
Kwa sisi wataalam tunajua hao maafande warembo wanaumuhimu sana katika kazi ya upelelezi,anaweza jifanya bar medi anaweza jifanya changudoa vyovyote vile ili misheni ikamilike, ni muhimu sana Kwa ajili ya taarifa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.