Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,368
We ndo asali wangu wa moyo kwa dhiki na faraja mpenzi kaza roho ingawa wayatasemwa mengi midomoni mwao usijali hayo.
"Siogopi kuitwa zoba au poyoyo "
Sing'oleki hata kwa reki"
"Mtoto anakula vitu laini laini,juice passion enbe,miwa,tambi ,koronya vilaini"
"Unajua,wengine hawajui nini kupenda,unajua wengine wanaogopa hata denda"