Asali mbichi - Nzihi Sunflower Growers & Beekeepers

Asali mbichi - Nzihi Sunflower Growers & Beekeepers

Joined
Nov 19, 2013
Posts
16
Reaction score
0
Asali mbichi safi inapatikana kwa wingi kutoka taasisi tajwa hapo juu. Piga No.0788372113 & 0755951333 na 0715372113.
 
Unapatikana mkoa gani, na bei gani kwa lita, nusu lita
 
Napatikana mkoa wa Iringa kijiji cha nzihi-mji mwema. Bei kwa lita/kilo tshs. 8,500=zipo pipa tatu (3).
 
Napatikana mkoa wa Iringa kijiji cha nzihi-mji mwema. Bei kwa lita/kilo tshs. 8,500=zipo pipa tatu (3).

Nzihi si pale nyuma ya Kidamali? Nilifika zamani sana Nzihi kwa yule Greek mlima tumbaku, weka na umbali toka pale Nzihi mpaka Iringa mjini. Option two, kwa nini usipeleke Dabaga veg. and Fruit Canning pale Ipogoro? Siku hizi wanasindika asali pia.
 
Mimi ninayo asali mbichi nina lt 240 nauza zote pamoja @ 1 sh.8,000 haijachakachuli malipo ni baada ya kuthibitisha ubora wake. 0773 944 944
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom