Asali inavyotia mshawasha kwenye foreplay

Asali inavyotia mshawasha kwenye foreplay

Habari zenu,

Katika mapenzi, kuna kuchokana sababu ya kuonana mara kwa mara na pia hata kuingiliana watu huchokana, hufikia mahali THEY HAVE TO GO THROUGH THE MOTIONS.

Hivyo tuwe wabunifu kufanya mambo yasiwe ya kuchosha na yawe mapya kila siku.
Hivyo kuongeza mahaba kabla ya foreplay, tumia asali.

Nendeni mkaoge wote, take your time! Kisha futaneni na taulo. Mkifika kitandani, baada ya kiss and hugging kadhaa, mmiminie asali mwenza wako akiwa amelala mtupu. Mimina popote katika mwili wake, kuanzia katika lips shuka chini unapita karibu na kwapa pande zote kisha mimina kupita katika chuchu unashuka hadi kitovuni mapajani, IKULU hadi miguuni kwenye toes.

Baada ya hapo anza lamba hiyo asali taaaaratibu, tumia hata dk 30-40 kutoka miguuni ukipanda juu!! Mwanamke hapo lazima atayeyuka by the time unamaliza kulamba hiyo asali. Wanawake pia wanaweza paka kwa wenza wao wa kiume na kiulamba hiyo asali.

I did it and it blew her mind away, so give it a try if you can!

NOTE: Mambo haya ni vizuri kufanya kwa mkeo au mwenza wako wa kuishi nae, sio kwa "vicheche".
Mh usiseme watu wazame chumvini tu
 
Kazi kuchafua tu mashuka hamna lolote we fikiria umetandika shuka jeupe kitandani afu muanze hayo mambo ya kumwagiana asali kama hilo shuka halijabadilika rangi.‍♂️
 
Mtaramba mpaka visivyorambwa! Mtaramba mpaka tigoni! Vijana fanyeni mazoezi, na kazi ngumu, nenda shamba, au bustanini, palilia maua au panda maua, shika jembe,fyeka, endesha baiskeli ili uvuje jasho au shiriki michezo. Unamaliza mwezi haujatembea 3km, halafu upige game, wapi! Utaramba asali unapiga kamoja kwa wiki, mama atachepuka, anagongwa 3 lunchtime tu!na hajalambwa kwa asali! Kumbukeni,uanaume ni huko kwenye suruali.
 
nakumbuka jamaa yangu 1 iv enzi tupo chuo alikua ana tembea na kichupa cha asali nikawa na muuliza cha kaz gan? akawa ana pindisha maneno
 
Mmh. Mapenzi ya kulambana lambana tena. Duuh.

Ila mapenzi ni kitu kingine bana unaweza andaa hiyo asali ila ukafika muda wa ile shughuli hata nafasi wa kumwagiana hiyo asali isipatikane kwa sababu kila mtu ana mhemuko wake na kuna mwingine mpaka uanze kumtuliza eti umwagie asali mmh.

Hapo unaweza kuta kashahama kabisa yaani hayupooo.
Upo vizuri
 
Back
Top Bottom