Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,391
- 88,767
Weeeee... nani kasema? pesa mbele kama taiMafunzo kwanza pesa badae
Weeeee... nani kasema? pesa mbele kama taiMafunzo kwanza pesa badae
Hahahaha mtaniiiii ww na asali wapi na wapiMmh. Mapenzi ya kulambana lambana tena. Duuh.
Ila mapenzi ni kitu kingine bana unaweza andaa hiyo asali ila ukafika muda wa ile shughuli hata nafasi wa kumwagiana hiyo asali isipatikane kwa sababu kila mtu ana mhemuko wake na kuna mwingine mpaka uanze kumtuliza eti umwagie asali mmh.
Hapo unaweza kuta kashahama kabisa yaani hayupooo.![]()
![]()
![]()
Ndio hapo sasa. HahahaaaHahahaha mtaniiiii ww na asali wapi na wapi
Ushauri na maneno muafaka kabisa mkuuMtaramba mpaka visivyorambwa! Mtaramba mpaka tigoni! Vijana fanyeni mazoezi, na kazi ngumu, nenda shamba, au bustanini, palilia maua au panda maua, shika jembe,fyeka, endesha baiskeli ili uvuje jasho au shiriki michezo. Unamaliza mwezi haujatembea 3km, halafu upige game, wapi! Utaramba asali unapiga kamoja kwa wiki, mama atachepuka, anagongwa 3 lunchtime tu!na hajalambwa kwa asali! Kumbukeni,uanaume ni huko kwenye suruali.