R red label JF-Expert Member Oct 16, 2015 355 703 Nov 2, 2023 #1 Habari wapendwa, inahitajika asali kwa wingi. Mwenye connection aliye serious tuwasiliane PM.
Mr Surplus Economy Senior Member Mar 19, 2018 173 161 Nov 2, 2023 #2 red label said: Habari wapendwa,inahitajika asali Kwa wingi..Mwenye connection aliye serious tuwasiliane pm... Click to expand... Asali mbichi au
red label said: Habari wapendwa,inahitajika asali Kwa wingi..Mwenye connection aliye serious tuwasiliane pm... Click to expand... Asali mbichi au
TAI DUME JF-Expert Member Feb 20, 2014 8,968 23,441 Nov 2, 2023 #3 Hujajitosheleza kwenye tangazo lako. Kiasi gani? Kwa muda gani? Mbichi, ya nyuki watoto, iliyochemswa? upo wapi? inahitajika wapi?
Hujajitosheleza kwenye tangazo lako. Kiasi gani? Kwa muda gani? Mbichi, ya nyuki watoto, iliyochemswa? upo wapi? inahitajika wapi?
ruga boy New Member Nov 28, 2023 1 1 Nov 28, 2023 #4 Ninayo asali mbichi bora kutoka tabora, lita 200. Uko wap nkuletee sampuli