magdarena Member Joined Jun 21, 2012 Posts 58 Reaction score 23 Jun 21, 2012 #1 Jamani wana jf nawasalimia wote natumai hamjambo wote. Naomba mtupe ushirikiano sisi wageni. Nawapenda wote naninawatakia lakheri Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Jamani wana jf nawasalimia wote natumai hamjambo wote. Naomba mtupe ushirikiano sisi wageni. Nawapenda wote naninawatakia lakheri
Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,559 Reaction score 11,496 Jun 21, 2012 #2 Karibu sana Magdarena! Call me b52
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,400 Reaction score 3,028 Jun 21, 2012 #3 Karibu sana jamvini.
stineriga JF-Expert Member Joined Jun 20, 2012 Posts 2,172 Reaction score 892 Jun 22, 2012 #4 kwa mikono miwili, ushirkiano ndio upo tele hulo usijali, jianadea kukatiza mitaa ya jf uwe mwenyeji fasta,
kwa mikono miwili, ushirkiano ndio upo tele hulo usijali, jianadea kukatiza mitaa ya jf uwe mwenyeji fasta,
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,891 Reaction score 13,884 Jun 22, 2012 #5 Karibu sana JF mkuu.
magdarena Member Joined Jun 21, 2012 Posts 58 Reaction score 23 Jul 18, 2012 Thread starter #6 nawashukuru kwaikarimu wenu wote mlonipokea. tupo pamojan inshallah
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,652 Reaction score 76,726 Jul 18, 2012 #7 Pita ndani.
mathematics JF-Expert Member Joined Feb 21, 2012 Posts 3,324 Reaction score 1,116 Jul 21, 2012 #8 welcome jf!