asalale ahhaa no no

Ajabu ni nini? C amewashwa na amejikuna mwenyewe! Hajaomba msaada wa kukunwa. Dada Angelina, wala ucjali!
 
Cha ajabu nini hapo? Mambo ya udaku hayo: ingekuwa mama yake kakaa vibaya angempiga hiyo picha? Hebu jikune kwa raha zako mama!
 
Ningekuwa bwana wa huyu dem ningechukulia hii ishu pasono! Ningemtafuta aliyemfotoa waubani wangu na kumweka kwenye mablogu! wallah ningemfanyia kitu mbaya sana ambayo ingemuembarasi kipindi kirefu!
 
Back
Top Bottom