3D.
JF-Expert Member
- Sep 7, 2010
- 1,018
- 282
nchi nzima masharobalo....L.O.L
Umenena Mkuu!!!!!!!!!
nchi nzima masharobalo....L.O.L
Wakati maandamano na vurugu za MAFARAO kutaka Rais Mubarak wa misri ajiuzulu,jioni hii kwa mara ya kwanza tangu awe raisi ameteua makamu wa rais ,Omar Suleiman na kumwapisha na kuanza kazi mara moja. Source ALJAZEERA LIVE.
Hovyo kabisa! What a disappointment!! Inabidi aanze kutiamaji nywele cz he is next in line na hayo madesa yake!!
Acha mambo ya udaku haya mambo kayaandike kwenye magazeti ya udaku kichwa cha habari hakifanani na kitu ulichoandika hapa unaonekana kama mmbea vile kwani ni lazima upost? Au kwasababu kupost ni bure? Tuache mambo ya ushabiki wa kimbea hapa jamvini humu kuna watu wa aina mbalimbali wanasoma na hawavutiwi na vichwa vya habari vya kidaku kama hiki
Mbona Jk kakaa kama hajiamni???
Msiwaandame jamani.
Nafahamu mwawaandama kwa sababu tu ni Waislaam.
Huko Egypt, kama huyu Rais angelikuwa Mkristo, wala wasingelisema.
Inferiority ComplexMbona Jk kakaa kama hajiamni???
Baada ya maandamano na mauaji ya wananchi nchini Misri ambayo yamefikia watu 53 mpaka sasa,baraza la Mawaziri limeamua kujiuzulu.
Source:Aljazeera
Msiwaandame jamani.
Nafahamu mwawaandama kwa sababu tu ni Waislaam.
Huko Egypt, kama huyu Rais angelikuwa Mkristo, wala wasingelisema.