ARVs ni siasa itakayoendelea kutumaliza

ARVs ni siasa itakayoendelea kutumaliza

Kavunja

Senior Member
Joined
Apr 16, 2014
Posts
158
Reaction score
23
Sababu kubwa inayofanya kuendelea kuwepo kwa VVU miongoni mwetu ni ARVs. ARVs humpa nguvu mgonjwa na kumfanya asioneshe dalili za ugonjwa kwa hali hii anakuwa ni hatari kwa asiye mgonjwa.

Kutokana na kupata nguvu na afya nzuri ARVs humuwezesha mgonjwa kuishi muda mrefu na kuambukiza mamia ya watu kabla ya kutoweka na VVU.

ARVs humfanya mgonjwa wa kike kutembea uchi na kuamsha hisia za wasio wagonjwa ili awaambukize kwa makusudi. Wagonjwa wa kiume nao hutumia fedha nyingi kuwashawishi mabinti na wake za watu na kuwaambukiza VVU.

Idadi ya wathirika ingekuwa ndogo sana kama ARVs zisingekuwepo.

Hata hao waliotuambukiza walitumia ARVs wakapata afya na nguvu za kutuambukiza sisi, kama sivyo wangetoweka haraka na pengine UKIMWI ungekuwa umekwisha zamani sana. Magonjwa yote yanayoua haraka sio rahisi kuenea haraka na hutoweka haraka ila ARVs zimeufanya UKIMWI uendelee kuishi. Pengine kizazi cha leo kingeishi free from HIV.
 
Sababu kubwa inayofanya kuendelea kuwepo kwa VVU miongoni mwetu ni ARVs. ARVs humpa nguvu mgonjwa na kumfanya asioneshe dalili za ugonjwa kwa hali hii anakuwa ni hatari kwa asiye mgonjwa.

Kutokana na kupata nguvu na afya nzuri ARVs humuwezesha mgonjwa kuishi muda mrefu na kuambukiza mamia ya watu kabla ya kutoweka na VVU.

ARVs humfanya mgonjwa wa kike kutembea uchi na kuamsha hisia za wasio wagonjwa ili awaambukize kwa makusudi. Wagonjwa wa kiume nao hutumia fedha nyingi kuwashawishi mabinti na wake za watu na kuwaambukiza VVU.

Idadi ya wathirika ingekuwa ndogo sana kama ARVs zisingekuwepo.

Hata hao waliotuambukiza walitumia ARVs wakapata afya na nguvu za kutuambukiza sisi, kama sivyo wangetoweka haraka na

Mgonjwa anapotumia ARVs hupunguza kwa kiasi kikubwa wingi wa VVU mwilini (viral load) hivyo kupunguza uwezekano wa kuambukiza mwenziwe au mtu mwingine.Ndio sababu inashauriwa kuwa wapenzi wawili kama mmoja in positive na mwingine ni negative (doscondant couples) ambaye ni positive aanze kutumia ARVs regardless ya CD4,Hii itapunguza maambukizi.Kwa hiyo kinyume na mawazo yako ARVs zinatumika pia kuzuia maambukizi.
 
Kama una uhakika na unachokisema basi nenda kafanyie majaribio halafu usimlaumu mtu.
 
si nasikia watumia ARV si rahisi kuambukiza umeme la sivyo tungekua tumededi weng kama sio wote.
 
Mbona tunaambiwa anayetumia arv haambukizi? Waambukizaji ni wale ambao hawajijui afya zao.
 
By the way ukitaka usiambukizwe mbona ni rahisi tu. Usifanye mapenzi au uwe na mpenzi muaminifu ambaye mnapima kila week.
 
Manake unataka kusema tuwaache wafe ili sisi tuliobaki wazima tungonoke hovyo bila woga?
Tunataka waendelee kuishi ili kubeba majukumu yao kama mwanajamii yeyote yule!
Sasa wewe unayewaka tamaa na kujamiana hovyo pasipo tahadhari ndiye mwenye shida!
 
Uaminifu na kuacha zinaa ndiyo suluhisho pekee! Unaposema tunaambukizwa makusudi ulibakwa?
 
Mgonjwa anapotumia ARVs hupunguza kwa kiasi kikubwa wingi wa VVU mwilini (viral load) hivyo kupunguza uwezekano wa kuambukiza mwenziwe au mtu mwingine.Ndio sababu inashauriwa kuwa wapenzi wawili kama mmoja in positive na mwingine ni negative (doscondant couples) ambaye ni positive aanze kutumia ARVs regardless ya CD4,Hii itapunguza maambukizi.Kwa hiyo kinyume na mawazo yako ARVs zinatumika pia kuzuia maambukizi.

Chukua LIKE mkuu...!!
 
By the way ukitaka usiambukizwe mbona ni rahisi tu. Usifanye mapenzi au uwe na mpenzi muaminifu ambaye mnapima kila week.

Inasemwa waweza pata kwa njia zingine pia ikiwemo sindano, mikwaruzano nk!
Hapo vipi napo!
 
Samahani mkuu,
Hapo ndo mwisho wako wa kufikiria?
Nalidhani ungesema kuwa kuna interest za wakubwa za kuleta ukoloni mamboleo kwa kupitia ugonjwa wa UKIMWI! Kulazimisha kununua dawa kwenye viwanda vyao,kuleta mashirika yenye kuongeza ajira za wazungu n.k

Lakini hili la wanawake wa kutembea uchi sababu ya ARV.... hebu fikiria zaidi mkuu
 
hizi ndo akili za watanzania!!! yaan watu wafe tu bila kupata chance ya kuishi!!! acha zinaa
 
umebakwa? si unataka mwenyewe. ukimwi siyo issue bana unaweza save kama huna macho mia mia. wala usilalamike
 
Back
Top Bottom