Kuna picha nimeona yuko na mkewe.... Mbona huyo mke hajavaa kiutamaduni??
Duh... Watu na mila zao bana, nimefuata hiyo link nikaona vazi hilo. Inamaana ndio vazi la heshima kwao???
thanx best leo niliachwajee msitu wa mabwepande
Santeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee........LIKE LIKE LIKE
Douta hapo bado hujawaona festi lediz wake a.k.a saccos zake...yaani hawavai hata sidiria kila kitu hadharani...