Arushaone
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 15,235
- 13,539
usijali kabisa mdogo wangu nakuja Ar this this month.
Noted, with serious concern!
usijali kabisa mdogo wangu nakuja Ar this this month.
huku cc mna vituko sana.
na iwe hivyo kwa wazee wote kurudi kijijini watuachie sisi vijana jiji letu la maraha
Shkamoo Uncle. ncle I need to see you, mbona hupokei sim zangu?
karibu sana shem, nimejaa tele........Umeshatoka mafichoni? Ntakuja kukuona
ha haaaa, mfidio utakupeleka pabaya mdogo wangu, shauri yakoahahahahhahahhahahha kitu mfidio mchezo!
ahahahahhaha sa hiz nawekeza tena kama NICOL vile!
hv uliniitia nini dada mkubwa?\
nishasaahu ujue!
machale kundesa..hujambo? Arushaone.........................ngakumiss............!!!
machale kundesa..
karibu sana shem, nimejaa tele........
Nalipa mshahara wa waziri mmoja kila mwezi kwa kunywa hayo mamilki ya TBL Sir Jiwe Linaloishi.
Sisi wazee haturudi bush ng'o! Paloma na Jiwe Linaloishi mtangoja sana!