Arushaone.... You Are Getting Old... Damn You!!

Arushaone.... You Are Getting Old... Damn You!!

Mi nlikuwa sijui kama Mentor ni draiva asee!!

Naimagine kama bosi wake wangekuwa mwanamke kama Madame B......

Mabosi na waheshimiwe na watu wote

Kuna wakati niliwahi kumwendesha AshaDii alipokuwa mbunge kule kwao...kama unamfahamu vizuri utakuwa umenisoma vyema babu. Yule mbunge ni mtego bana..kifaa cha ukweh...dah!!!:tape2:
 
Last edited by a moderator:
Banandugu wote wa JF heshima kwenu! Hakika umegota mwaka tangu nijimuvuzishe jamvini humu na sitaki kutoka! Sijui nimelogewa humu? Au ndo limbwata la ki-JF?

Nishakuwa teja hakika la JF!

Nawapenda wote na hakika mwajua kuwa nawapenda kweli.

nakupenda sana kaka yangu wa ukweeeeee! msuper kijana...kwa kujiunga kwako hapa nimekuwa na bahati ya kukujua live pia..i real appreciate kuja kwako katika jamii ya marafiki zangu
pamoja daima jf
 
Kaka name nahisi nita kuwa teja muda si mrefu.... hakika napata raha sana mno ...
 
nakupenda sana kaka yangu wa ukweeeeee! msuper kijana...kwa kujiunga kwako hapa nimekuwa na bahati ya kukujua live pia..i real appreciate kuja kwako katika jamii ya marafiki zangu
pamoja daima jf
Namimi hujapenda kuwepo kwangu hapa?

Afu unakumbuka miadi yetu? Usisahau ahadi ni deni...:A S shade:
 
Mwaka tu posts zote hizi? Afu id yako ya zamani ni gani? Manake nahisi nakujua kabla hata sijazaliwanywa.
 
Back
Top Bottom