Arushaone.... You Are Getting Old... Damn You!!

Arushaone.... You Are Getting Old... Damn You!!

Asprin

Platinum Member
Joined
Mar 8, 2008
Posts
68,271
Reaction score
96,398
Kudadadadeki!

Tumetoka mbali mangi tangu enzi zileeeeeee.... unaogeshwa live....

attachment.php


Mpaka yaani shheenzy zakoooo ukapitia matatizo makubwa sana.... dingi yako alikuwa mmmbaayyyaaaa!!

attachment.php


Nakumbuka ukaniahidi utakuwa kamanda

557336_211641852295948_1341297232_n.jpg




Kwamba huogopi kitu wala nini....

attachment.php



Tatizo lako hommie unasahau kitu kimoja..... umeona eh?

537631_445304512214086_24024308_n.jpg


Wakati unajua kabisa nshakupa kazi moja ya kunisaidfia ukaguzi mkubwa......

kls-wmk.php



Na ukaguzu mdogo

attachment.php



Hujataka kunielewa, lakini kumbuka...

208512_444399148971289_760315067_n.jpg

184166_516519781725034_1315971255_n.jpg


Maadam ushayajua hayo hommie basi acha tabia mbaya

attachment.php



Kwakuwa mie kama kaka yako mkuu, na babu mkaguzi mwenye heshima zangu, natambua kuwa leo umetimiza mwaka mmoja hapa JamiiForums.

Sina cha kukuambia zaidi ya hiki...

225581_445008918910312_657123894_n.jpg





Hiki ulichokionyesha kwa mwaka mmoja, waweza kukiongeza mara nyingi zaidi...... Usituangushe, Tunakuhitaji sana!

Habari hii iwafikie: Wanaapolo: PakaJimmy, Preta, Blaki Womani, Lily Flower, sweetlady, Mr Rocky, Filipo, marejesho, Kabakabana, Mzee wa Rula, Saharavoice, LiverpoolFC (Pole zetu mazee).

Bila kuwasahau wana leo tupo hapa Madame B, snowhite, Remmy, Paloma, Raiza, gfsonwin, KakaKiiza, watu8, Jiwe Linaloishi, Mentor, Kipaji Halisi, Mtambuzi, Zion Daughter, Mjeda, Fidel80. Kaizer na Invisible kwa ajili ya kunigongea LIKE.

Pamoja Saana: Source my darling shem AshaDii

Ambao sijawamenshen msisahau kunigongea LIKE.

Guud naiti pipooooz!!:amen::amen:
 
Last edited by a moderator:
Mbulura mbulura*4 eeeehh sharo baro ni mburula*2
 
Banandugu wote wa JF heshima kwenu! Hakika umegota mwaka tangu nijimuvuzishe jamvini humu na sitaki kutoka! Sijui nimelogewa humu? Au ndo limbwata la ki-JF?

Nishakuwa teja hakika la JF!

Nawapenda wote na hakika mwajua kuwa nawapenda kweli.
 
Sasa maana yake nini umewataja watu wote mi mjukuu wako ukanisahau? Na mimi ndie nilikwambia umwambie Arushaone abadilike?
Am in love with you.... Come on, you know it, don't you? Eti Mwali??? Khaaa??
 
Back
Top Bottom