Arushaone umetisha!

Iilkuwa zamani za kale, enzi zile za mchezo wa baba na mama. Ila ngoja KOKUTONA aje akupe mwongozo wa supika.

Kuwa na amani kabisa Arabela sisi tuliishiaga kujipikilisha tuuu...tulivyokuwa wakubwa ndo km hivyo tena tumefall into different people yeye kwa A mimi kwa K, si ndiyo shemeji Arushaone?
 
Last edited by a moderator:
shostito sio mumeo tena?

Alikuwa mume wetu, alipoanzisha group marriage nikajitoa....sasa hivi ametubu na anakupenda sana yaani hadi namuonea huruma....unajua anakupenda sana shosti......
 
Habari zangu nzuri sana na wife pia hajambo! Nilikukaribisha ukaleta pozi, sasa umenikumbuka eeh!!? Pole sana. Sasa nipo bize na Arabela kuna mambo tunafanya. Wife yupo bediresti!

come this way Filipo tumchagulie mtoto nguo
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Hunishindi mimi ujue Arabela..ngoja nifanye utaratibu baada ya mwongozo wa KOKUTONA

CC KOKUTONA

Yuko Arusha...Mwongozo wangu msubiri arud Tanga.....but pia inategemea na mlivyomisiana kwenye nyoyo zenu.


Angalizo km utaamua kwenda Arusha kumaliza mpango wako wa muda mrefu ambao Filipo ameushindwa, msije mkatoana macho na Arushaone
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…