****arushaone & lady doctor****

micheletz mzima wewe? Ama baada ya salamu napendakukujulisha kuwa lile pepo lako la ngono nimeanza kuliombea likutoke maana naona linakutesa sana! Ppffwwuuuuuu!!

I am here, nitafutie nami nipate wangu, nawe utakuwa shogangu wa ukwenhee huyo Arushaone ntakuachia moja kwa moja shostito!
 
I am here, nitafutie nami nipate wangu, nawe utakuwa shogangu wa ukwenhee huyo Arushaone ntakuachia moja kwa moja shostito!

ha ha ha ha...! Eti nikutafutie mume ili uachane na Arushaone loooh umenichekesha ujue,,,,, bibiee mume jitafutie mwenyewe kwa Arushaone utajisumbua tu wala hana time na wewe.... Utakata kandambili zako bure kwa kumpigia misele mume wangu hahahahaaaaa!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…