Arushaone
Platinum Member
- Mar 31, 2012
- 15,237
- 13,567
Nani kakuruhusu kwenda white party? Na unaenda na nana?
Watu wa Dar km ni kweli huyu mtu aja uko, chungeni tamtam zenu. Ni MSUWATI wa II huyo.
Ngoja Madame B na Blaki Womani waje kukujibu KOKUTONA...
Last edited by a moderator: