Arabela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 3,127
- 2,227
Kumbe ndio maana Arushaone aliadimika hapa jukwaani kumbe walimtia kwenye chupa!!!!!!
Mweeeeeeeeeeeeeh!
yani my dia tena ana mpango huo wa kujenga huku
poa mpendwa. Uliadimika
Tumsaidie asiwe mtu wa kuhama hama, atulie JIJINI TANGA.
Nikija tutakaa kama kamati mtaniambia kinipasacho kufanya!
Njoo nao wote bwana
njoo na Filipo
Arabela nitakuja na marejesho atakayekuwa guide kwa kina Young Master Mr Rocky Vin Diesel St. Paka Mweusi Asprin Erickb52 Mzee wa Rula Katavi Husninyo na tutampitia Don Mangi pale Moshi.
Arabela nitakuja na marejesho atakayekuwa guide kwa kina Young Master Mr Rocky Vin Diesel St. Paka Mweusi Asprin Erickb52 Mzee wa Rula Katavi Husninyo na tutampitia Don Mangi pale Moshi.
una wivu wewe!