Sidhani hata km nguvu za kupokea simu anazo, tumemkodia na dereva. Chezeya tanga kunaniiii.
koku yanshobeza!Mawee . . . . . ."Arachuga"???
Iwe Koku! teh
Fanya rejeo Kaka. Naona aibu.
Kokutona na Arabela please na mimi naomba kama kwa Arushaone. Msiwe na upendeleo. Mtapata utakatifu wangu wote
XoxoxoxoKokutona mpenzi umesikia hiyoooo?
Alifika salama Arusha
Afike salama.
Yeah manoah niko salama na sasa nafaa kwa matumizi ya binadamu, baada ya wife Blaki Womani kufuata ushauri wa kina Arabela na KOKUTONA. Lakini duh uchovu mpaka malaria...