Arushaone arejea Arachuga

KOKUTONA

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2011
Posts
8,651
Reaction score
6,110
Baada ya kukaa kama kamati mimi na Arabela leo tumemruhusu Arushaone kurudi nyumbani kuungana na mkewe halali Blaki Womani.
Kwa kweli tumefaidi............, na tmemrudisha mzimaaa na safe from everything na mwepesi mno.

@Blaki Woman hakikisha menu ya mzee inakuwa na varieties zenye carbohydrates na protein zaidi.
Arushaone tunakushukuru sana sana kwa company yako hatukuchoka ila tumemuonea huruma mke halali na malalamiko ya Filipo.

Shukurani za dhati kwa wana Arusha woote kwa kukubali kumwacha MSUWATI Tanga hadi tulivyomruhusu leo.
Arabela karibu kwa kuongezea, uwanja ni wako nyumba ndogo mwenzangu.

Kazi tumeifanya.

Habari hizi ziwafikie PakaJimmy, Preta, @ Filipo, werawera, Lily Flower, marejesho, nyumba ndogo mwenzetu Madame B, Tanga crew pamoja na corabo ya dar
 
Last edited by a moderator:



Khaa ha ha ha ha ha haaaaa! Hivi ndiyo maana tangu juzi nampigia simu na hapatikani,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,ngoja nimpe hai kama atapokea simu


Nitampata kweli!!!
 
Last edited by a moderator:

mpenzi hatimae tumempa go ahead ila dah sidhani kama atatusahau jaman.. Hii ndio tanga kuna karibu tanga hakuna kwaheri tanga. ARUSHAONE utatusalimia Blaki woman
 
Last edited by a moderator:
mpenzi hatimae tumempa go ahead ila dah sidhani kama atatusahau jaman.. Hii ndio tanga kuna karibu tanga hakuna kwaheri tanga. ARUSHAONE utatusalimia Blaki woman
Naiwazia hiyo threesome ilivyofanyika.
Anyway, tunaomba mtujulishe mmempakiza basi gani, Freys, Ngorika, Mtei, Bazzu, au Simba Mtoto?
Acha tufanye mpango tukampokee bana, tutafanyaje sasa.
Filipo, LiverpoolFC, sweetlady, Preta, andaeni mausafiri tumfikishe kwake Moshono.
 
Last edited by a moderator:

akija ashukie kwa Cheusi apate supu kwanza maana watakuwa wamemfanya hamna!
 
Last edited by a moderator:
Khaa ha ha ha ha ha haaaaa! Hivi ndiyo maana tangu juzi nampigia simu na hapatikani,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,ngoja nimpe hai kama atapokea simu


Nitampata kweli!!!

Sidhani hata km nguvu za kupokea simu anazo, tumemkodia na dereva. Chezeya tanga kunaniiii.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…