ARUSHA: Watu wawili wafariki kwa kuchomwa moto bila nyumba kuungua

Watu wengi sana wanahangaika kujiuliza hawa ilikuwaje hata hawakupiga kelele n.k.
Hapa naweza sema kutokana na ninachoona kwa kutizama tu picha huyo mwanaume, katika 100%, basi nampa 98% kuwa aliuwawa sehemu nyingine (tazama alivyonyo(oka/poa), hapo atakuwa aliletwa akiwa amekufa na kulazwa na kupigwa kiberiti.
Na kama mauwaji yalitokea ndani ya nyumba hiyo, basi labda kutokana na kelele za mvua kama ilinyesha cku hiyo, majirani hawakuweza kuc.kia kelele za kuomba msaada.
 
Mara kadhaa huwa nawashangaa wabongo. Hapa napata picha kwanini bado tuna taifa masikini na huku kuna rasilimali nyingi. Huku Gambo kageuza rambirambi kuwa lambalamba, kule bashite na vyeti feki. Na kwasababu wabongo tunapenda kucheza kila mziki unaopigwa ndio baasi tumesomeja na hawa ma dj. Hapa waliouwawa ni wapangaji aa MOJA ya nyumba ya marehemu MSUYA. watu tunaanza kuhusianisha na familia na utajili wa marehemu Msuya kitu ambacho kipo nje kabisa ya huu uzi. TUSOMENI KWA UMAKINI NDIO TUANZE KUKOMENTI WAJAMENI DAAAH
 
Ushamba na ulimbukeni wa mapenzi.
Hivi hao waliochomwa walishindwaje kupiga kelele majirani wasikie kama ni chumba cha kupanga ?
Walikubalije kuchomwa moto kimyakimya
Au walileweshwa ?
Nashindwa kuelewa
Inavyoonekana waliuawa kwanza kabla ya kuchomwa moto.
 
Ushamba na ulimbukeni wa mapenzi.
Hivi hao waliochomwa walishindwaje kupiga kelele majirani wasikie kama ni chumba cha kupanga ?
Walikubalije kuchomwa moto kimyakimya
Au walileweshwa ?
Nashindwa kuelewa
Inawezekana walisha zimishwa kwanza kisha wakachomwa moto. Au walipewa kilevi au sumu flani kabla ya moto.
 
Tusianze kumlaumu aliyewaua... first of all jaribu kuwa katka position yake.. Yaan una demu, umempangishia nyumba, unamhudumia then Demu awe anaingiza mwanaume mwingine.. huyo jamaa sio katili wala nn sema visababishi ndio vimemsukuma kufanya hivyo.. Naona alikuwa na hasira na hata akikamatwa kesi ya ni kuua bila kukusudia... simlaumu hata kidogo.. hata nyie hamuwezi kuvumilia haya sema mnaropoka hapa ili muonekane kama mna mioyo ya huruma.. yaan mwanamke asiwe na huruma then mm niwe na huruma?? Umewahi kujaribu kufikiria siku ukifumania itakuwaje..?? Omba utombewe alafu ujionee laivu ndipo utajua una moyo wa namna gani..
Mwisho kwa position ya jamaa na situation ya tukio.. simlaumu hata kidogo.. wadada waheshimu hisia za wanaume wao..
 
Mkuu mnachanganya mambo,hiyo nyumba ni mali ya dada yke mtu kamfumania mkewe na jamaa akamwagwa petrol dirishani na kuwasha moto,ni nyumba inawapangaji
Mshaanza kamba wabongo bwana kama alimwaga petrol dirishani hiyo kamba aliyofungwa mwanaune nayo kaifunga kupitia dirishani?
 
Cc kuchepuka raha
Na mm namuambia yule dada alieandika "kuchepuka raha" aendelee tu kuchepuka yeye ndio anachepuka mwili ni wake raha ni zake hapangiwi na mtu...asusahau tu kuja kutupa mrejesho manake hakuna marefu yasiyo na ncha 40 itafika tu siku moja
 
Tusianze kumlaumu aliyewaua... first of all jaribu kuwa katka position yake.. Yaan una demu, umempangishia nyumba, unamhudumia then Demu awe anaingiza mwanaume mwingine.. huyo jamaa sio katili wala nn sema visababishi ndio vimemsukuma kufanya hivyo.. Naona alikuwa na hasira na hata akikamatwa kesi ya ni kuua bila kukusudia... simlaumu hata kidogo.. hata nyie hamuwezi kuvumilia haya sema mnaropoka hapa ili muonekane kama mna mioyo ya huruma.. yaan mwanamke asiwe na huruma then mm niwe na huruma?? Umewahi kujaribu kufikiria siku ukifumania itakuwaje..?? Omba utombewe alafu ujionee laivu ndipo utajua una moyo wa namna gani..
Mwisho kwa position ya jamaa na situation ya tukio.. simlaumu hata kidogo.. wadada waheshimu hisia za wanaume wao..
Pesa makaratasi hasara roho.....sasa unaua mtu unaishia kufungwa unaenda kuolewa jela huko unacha wanawake wengine wazuri zaidi ya huyo aliekutoa utu.
 
Tusianze kumlaumu aliyewaua... first of all jaribu kuwa katka position yake.. Yaan una demu, umempangishia nyumba, unamhudumia then Demu awe anaingiza mwanaume mwingine.. huyo jamaa sio katili wala nn sema visababishi ndio vimemsukuma kufanya hivyo.. Naona alikuwa na hasira na hata akikamatwa kesi ya ni kuua bila kukusudia... simlaumu hata kidogo.. hata nyie hamuwezi kuvumilia haya sema mnaropoka hapa ili muonekane kama mna mioyo ya huruma.. yaan mwanamke asiwe na huruma then mm niwe na huruma?? Umewahi kujaribu kufikiria siku ukifumania itakuwaje..?? Omba utombewe alafu ujionee laivu ndipo utajua una moyo wa namna gani..
Mwisho kwa position ya jamaa na situation ya tukio.. simlaumu hata kidogo.. wadada waheshimu hisia za wanaume wao..
Bosi, Ngolilo,
Bosi, Ngolilo.
Ivi ukimfumania mkeo ndo umuue ndugu.
Na wewe ukifumaniwa uuawe au mwenzetu hujawahi kufanya mapenzi na msichana asiyekuwa mkeo ?
Kosa la kufumania linauma kweli lakini halilingani na adhabu ya kumwua mfumaniwa.
Mwanamke ni binadamu huwa anaweza kushawishiwa na kujikuta akichepuka, kama wewe unavyoshawishiwa na wadada wa kisasa.
Pia huyo msichana hakuwa mke wake wa ndoa maana alipanga chumba na kuishi kibachela
Unajua katika mapenzi usimwamini mwenza wako saana hadi ukadhani unapendwa wewe pekee.
Kumbuka hata wewe hukuwa wa kwanza kuwa mpezi wake, hata kama ulikuwa wa kwanza, ujue kama wewe unavyowapenda wanawake wa mtaani naye pia kuna wanaume wanao mvutia zaidi yako.
Zaidi wewe huna haki ya kutoa uhai wa mtu yoyote kwani huyo si mali yako na mmekutana ukubwani tu.
Kama umemfumania unaweza kumsamehe au kumwacha, kwani dunia bado inamuhitaji ujue.
Usiwe unapenda saaana kiasi ukifumania unashindwa kuiendesha akili yako, yaani unageuka kichaa.
Penda kidogokidogo ndugu, kwani ktk mapenzi kuna kuchokana, kuogopana, kushwawishika nje ya ndoa nk.
Huyu aliyeuwa lazima alaumiwe, siyo binadamu ana kichaa cha mapenzi.
Vijana mjifuze kuhimili kukataliwa, kufumania, kuachwa nk. Kwani hamna hati miliki ya mapenzi kwa wadada mlionao.
Ona, wazazi na ndugu wamlee msichana,
wamtunze,wamsomeshe, unajua ghalama walizotumia halafu unakuja kumwua kirahisi tu.
Yaani hizi hela ulizomhonga kwani ulilazimishwa uumpe mpaka uwe na uchungu kuliko ndugu na wazazi wake walio mghalimia katika maisha yake hadi unamwona mzuri.
Jifunze kuhimili mapenzi, kuua kwa kufumaniwa ni ulimbukeni mbaya.
Ujue hakuna msichana anaye kupenda wewe tu, wewe ni kwamba umejitokeza kumshawishi na anakukubalia kwani anahitaji mtu wa kumliwaza au wa kuishi naye tu.
Kuna watu anawapenda kuliko wewe.

Bosi, Ngolilo
 
Watu wawili wamefariki dunia Leo hii asubuhi katika nyumba ya marehemu bilionea Msuya baada ya moja ya chumba walichokuwa kuungua Moto huku mwanaume hiyo akiwa amefungwa kamba mikononi.

Tayari polisi wamechukua miili sasa hivi baada ya kuchukua maelezo kutoka kwa wapangaji wengine.

Hili tukio limetokea katika moja ya nyumba yake iliyopo Sakina Arusha.

----------
Eng Mose, said

Watu 2 wa jinsia ya kike na Kiume ambao bado majina yao hayajatambulika wamekutwa wamepoteza maisha katika Kitongoji cha Elkiurei Kata ya Kiranyi wilayani Arumeru kwa kile kinachosemekana kuwa ni ajali ya moto.

Akithibitisha tukio hilo mwenyekiti wa kitongoji hicho Bwana Enesphori Chami amesema kuwa tukio hilo ni la kushangaza kwasababu wamekuta marehemu hao katika mazingira ya ya kujiuliza maswali mengi kwa kuwa mwanaume alikuwa amefungwa kamba mikononi jambo lonaloleta utata kuelewa nini kilikuwa kinaendelea.

Bwana Chamia amesema marehemu hao walikuwa mwanaume na mwanamke wanaokadiriwa kuwa na umri wa miaka kata ya 30 na 35 lakini kinachoshangaza wameungua wao pamoja na Godoro jambo ambalo linatia wasiwasi majirani waliokuwa eneo hilo.

Naye shuhuda aliyejionea tukio hilo amesema kuwa walilazimika kuvunja mlango kwa kuwa ulikuwa umefungwa kwa ndani lakini dirisha lilikuwa limefunguliwa jambo ambalo hawajaelewa kwasababu marehemu hao mwanaume alikuwa amefungwa kamba.

Shuhuda huyo amesema kuwa Mwanamke huyo anajulikana kwasababu wako naye siku zote lakini mwanaume anaonekana kuwa ni mgeni kwasababu hawajawahi kumuona na mwanamke alikuwa anaishi peke yake.

Naye Diwani wa kata ya Kiranyi Bwan John Seneu amesema kuwa tukio hilo ni la kushangaza kwasababu kama ni nyumba kuungua ingeteketea yote lakini kilichoungua ni godoro peke yake kitu kinachoendelea kuwafanya wananchi kuwa na maswali mengi.

Hata hivyo ametoa wito kwa wananchi kuendelea kuwa makini Na matukio kama haya na kutambua wageni wanaowatembeleakatika maeneo yao

Pamoja na hayo jeshi la polisi linaendelea na upelelezi ili kubaini chanzi cha tukio hilo la kusikitisha.
Sakina au Arumeru? Sijaelewa
 
Tusianze kumlaumu aliyewaua... first of all jaribu kuwa katka position yake.. Yaan una demu, umempangishia nyumba, unamhudumia then Demu awe anaingiza mwanaume mwingine.. huyo jamaa sio katili wala nn sema visababishi ndio vimemsukuma kufanya hivyo.. Naona alikuwa na hasira na hata akikamatwa kesi ya ni kuua bila kukusudia... simlaumu hata kidogo.. hata nyie hamuwezi kuvumilia haya sema mnaropoka hapa ili muonekane kama mna mioyo ya huruma.. yaan mwanamke asiwe na huruma then mm niwe na huruma?? Umewahi kujaribu kufikiria siku ukifumania itakuwaje..?? Omba utombewe alafu ujionee laivu ndipo utajua una moyo wa namna gani..
Mwisho kwa position ya jamaa na situation ya tukio.. simlaumu hata kidogo.. wadada waheshimu hisia za wanaume wao..
Kuua bila kukusudia?
Halafu pia huoni kosa la aliyewachoma binadamu wenzake kama wanyama?
Unahitaji msaada mkuu,pole.
 
Back
Top Bottom