Arusha: Watoto watatu waliwa na Simba

Huu uzi bila picha ni mama levo
 
Duh wamasai Wana madawa aisee loh, kumbe ndo mambo huwa iko ivo. Rip watoto jamani
 
Kifo kibaya sana, maskin watoto dah, huyo aliyesalimika itabidi ataftiwe mtaalam wa saikolojia
 
Miaka sitini ya uhuru watoto wadogo bado wanakatiza mbuga kwa miguu kwenda shule
umewai fika ngorongoro mkuu kule ni maisha yao ya kawaida hii kuliwa na simba bahati mbaya tu ila kila siku wanachunga ng'ombe humo hifadhini na simba hawawafanyi kitu sana sana huwa wanaogopa nyati tu ndio wako aggressive
 
Simba anamuogopa sana mmasai kama hamjui.Kule porini mifugo na pundamilia wanachunga pamoja na ikifika jioni pundamilia wanalala karibu na boma la mmasai vile wanajua watakuwa salama kwa simba
 
Ulipoteza nafasi, ungeshuka nae.
Alikuachia namba yake ya simu?
 
😁😁 niliwahi kusikia hii enzi hizo kua nyama ya binadamu ina chumvi chumvi wanyama wakali wanaipenda, sijui ni kweli au ndo ile kudanganyana tu
No simba nilisikia hapendi nyama za wanyama wanaokula nyama.Umeshawahi kusikia simba kala fisi??
 
Huwa kuna sababu kwa nini simba anakamata binadamu na kuwala. Hii documentary niliangalia zamani kuhusu simba mla watu wa Rufiji.

Asante kwa video hii.Kwa maana hiyo wana simba waliokula watoto lazima wauwawe kwa maana wameshaonja nyama ya binadamu
 
Anayefahamu kisa cha simba wa Tunduru atueleze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…