... duh! Anakosa raha kutokana na mauji aliyofanya! Halafu niliwahi kusikia mara nyingi simba wala watu ni ile mizee isiyoweza mikiki ya kukimbizana na wanyama.Anakuwa kakaa sehemu moja tuu kama hana raha alafu kwenye kumsaka akiona binadamu huwa anawahi kukimbia mbio balaa hata kama hujaanza kumfikia
Kuna watu walienda na vyombo shuleni, Sasa watoto wakakimbia kurudi home wakijua ni "chanjo" maana Shujaa Mwendazake alishatangaza kua chanjo hazifai.. Sasa wakiwa njiani ndo wakakutana na hiyo dhahama!!"...majira ya saa nne asubuhi katika Kijiji hicho wakati wanafunzi hao wakijerea nyumbani kutoka shuleni ..."
hiyo shule wanafunzi wanaenda shule mdaga gani na wanatoka muda gani? ama walikuwa wameelekezwa warejee nyumbani na walimu?
Kama level ya ignorance ipo juu kitashindwaje sasa... huko chama miaka yote kinapita kwa ushindi wa kimbunga cha ajabu! Hao ndio wapiga kura wetu waaminifu (loyal). Kwani simba wameanza kula watu leo? Hebu mtupishe!
Sio saana mara nyingi ni wale waliotengwa kwenye ukoo anafukuzwa kwenye kambi /pori.... duh! Anakosa raha kutokana na mauji aliyofanya! Halafu niliwahi kusikia mara nyingi simba wala watu ni ile mizee isiyoweza mikiki ya kukimbizana na wanyama.
Kuna watu walienda na vyombo shuleni, Sasa watoto wakakimbia kurudi home wakijua ni "chanjo" maana Shujaa Mwendazake alishatangaza kua chanjo hazifai.. Sasa wakiwa njiani ndo wakakutana na hiyo dhahama!!
kama hujui mambo ya vijiji vingi vya tanzania uwe unauliza baadhi ya shule madarasa ni machache na waalimu ni wachache mfano hufanya wiki hili darasa la kwanza hadi la nne waje asubuh na kurudi sa4 la tano mpaka la saba waje sa4 mpaka sa8 ili madarasa yatosheleze na walimu watosheleze unakuta shule wanafunzi 600 walimu wanne tu
Hakuna mapumziko hiyo muda ya saa nne asubuhi?"...majira ya saa nne asubuhi katika Kijiji hicho wakati wanafunzi hao wakijerea nyumbani kutoka shuleni ..."
hiyo shule wanafunzi wanaenda shule mdaga gani na wanatoka muda gani? ama walikuwa wameelekezwa warejee nyumbani na walimu?
hapo sasa. Labda wataua simba wote... watamjuaje kwamba huyu ndiye aliyewala?
Sasa wanaishije huko porini na wanyama woteYes hawaogopi lakini hiyo ya kusema kuna dawa wanapaka sio kweli mkuu.
Sasa simba wako kwenye himaya yao(hifadhini)utaenda kuwaua wote?wangekuwa wamekuja kijijini sawa.
Adaptation tu ya mzingira. Wewe unafikiri labda miaka 500 nyuma jamii hizi tunaoishi mijini hatukuwa tukiishi maporini na wanyama hao?Sasa wanaishije huko porini na wanyama wote
Kuna wakati wamasai waliua Simba 7 wakilipiza kisasi, halafu nyama ya binadamu inachumvi sasa ndiyo wameonja hawataachaSasa simba wako kwenye himaya yao(hifadhini)utaenda kuwaua wote?wangekuwa wamekuja kijijini sawa.
Kilichilopo ni kuchukua tahadhari tu, kwani hilo tukio ni kama la bahati mbaya tu, kwa mmasai kuliwa na simba, kwani toka enzi na enzi wanaisha pamoja!!na kama wamasai wakisema waanze kuwaua simba, na kwa hali ya sasa ya hiyo hifadhi ya bonde la Ngororo, serikali itakuwa imepata sababu ya kuwaondoa!!kwani ni muda mrefu wanaliwa timing tu!!Kuna wakati wamasai waliua Simba 7 wakilipiza kisasi, halafu nyama ya binadamu inachumvi sasa ndiyo wameonja hawataacha
Ni kweli wasiishi kwa mazoea, bali kwa tahadhali.Kilichilopo ni kuchukua tahadhari tu, kwani hilo tukio ni kama la bahati mbaya tu, kwa mmasai kuliwa na simba, kwani toka enzi na enzi wanaisha pamoja!!na kama wamasai wakisema waanze kuwaua simba, na kwa hali ya sasa ya hiyo hifadhi ya bonde la Ngororo, serikali itakuwa imepata sababu ya kuwaondoa!!kwani ni muda mrefu wanaliwa timing tu!!
Kwanini wanafanya hivyo
Hivi Simba anywe damu ya binadamu anaweza kuacha kweli? Damu ya Binadamu itakuwa na chumvi chumvi, ila {niyangu hayo}[emoji23]Kwanini wanafanya hivyo
Inawaficha ,sasa inaonesha wale watoto hawakupakaKumbe ni dawa huwa wanapaka kabisa kwanini hawakuwapaka hao watoto sasa.
Hatari sanaMiaka sitini ya uhuru watoto wadogo bado wanakatiza mbuga kwa miguu kwenda shule