kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 18,415
- 22,994
Niliambiwa hivo na hata mbugani wamasai hawaogopi simba banaUlidanganywa wapi? [emoji23][emoji23]
Kumbe ni dawa huwa wanapaka kabisa kwanini hawakuwapaka hao watoto sasa.Ile dawa yao ni hatari inanuka balaa ,kuna siku kuna mmasai mwanadada alipanda basi alitokea mvomero akawa anaenda msamvu ,noma abiria ilibidi wamwambie dereva amshushe alikuwa anatema harufu kali ndio wadau wakasema ni dawa yao ili wasivamiwe na wanyama wakali.
walirudishwa ada"...majira ya saa nne asubuhi katika Kijiji hicho wakati wanafunzi hao wakijerea nyumbani kutoka shuleni ..."
hiyo shule wanafunzi wanaenda shule mdaga gani na wanatoka muda gani? ama walikuwa wameelekezwa warejee nyumbani na walimu?
Mbona kawaida sana hiyo.Miaka sitini ya uhuru watoto wadogo bado wanakatiza mbuga kwa miguu kwenda shule
Hao simba wakiachwa wataanza kula watu sasaHaki ya nani hizi simba tutazisaka na kuzipata hasiwezi kuonyesha tabia mbaya kwa masai
Daa.Inaonesha wazi kabisa gaidi Mbowe anaonewa.
Siaachiwe huru?
Huo ni mda wa wanyama kutafuta mlo pamoja na jioni saa tisa hadi kumi na moja kasoroKwa majina na eneo itakuwa jamii ya Wamasai ambao wanaishi jirani sana na simba. Hio ni ajali tu, ila huyo simba atatafutwa hadi auawe kwasababu kashaonja nyama ya mtu hataacha.
Anakuwa kakaa sehemu moja tuu kama hana raha alafu kwenye kumsaka akiona binadamu huwa anawahi kukimbia mbio balaa hata kama hujaanza kumfikia... watamjuaje kwamba huyu ndiye aliyewala?
Anakuwa na aibu na akiona mtu anawahi kukimbia yeye hata kama wako wengi kwenye kundiSijui, ila wenyewe wanajua na watamtafuta, watu wanatafuta hadi mamba aliekula mtu na wanamkamata wanamuua.
Tuende wapi wakati ndo tuliko zaliwa kukulia huko hadi kusomaWamasai hameni mbugani.
Sawa mkuu, wewe ndio Zero IQ ?Mbona kawaida sana hiyo.
Kwetu umasaini tunahesabu ni bahati mbaya
Ni kwanini inakua hivyo mkuu?? Na hiyo ni saikolijia ya simba tu au na wanyama wengine wa mwituni??Anakuwa na aibu na akiona mtu anawahi kukimbia yeye hata kama wako wengi kwenye kundi
Baadhi au wanyama wenye akili ya uelewa ila hawana maarifa kwa mfano mbwa, chui,tumbuli,nyani,simba paka na fisi.Ni kwanini inakua hivyo mkuu?? Na hiyo ni saikolijia ya simba tu au na wanyama wengine wa mwituni??
kama hujui mambo ya vijiji vingi vya tanzania uwe unauliza baadhi ya shule madarasa ni machache na waalimu ni wachache mfano hufanya wiki hili darasa la kwanza hadi la nne waje asubuh na kurudi sa4 la tano mpaka la saba waje sa4 mpaka sa8 ili madarasa yatosheleze na walimu watosheleze unakuta shule wanafunzi 600 walimu wanne tu"...majira ya saa nne asubuhi katika Kijiji hicho wakati wanafunzi hao wakijerea nyumbani kutoka shuleni ..."
hiyo shule wanafunzi wanaenda shule mdaga gani na wanatoka muda gani? ama walikuwa wameelekezwa warejee nyumbani na walimu?
No hapaba,simba katoroka mbugani kasogea Kijijini.Miaka sitini ya uhuru watoto wadogo bado wanakatiza mbuga kwa miguu kwenda shule
Yes hawaogopi lakini hiyo ya kusema kuna dawa wanapaka sio kweli mkuu.Niliambiwa hivo na hata mbugani wamasai hawaogopi simba bana