Mpenda Posho
Senior Member
- Oct 29, 2012
- 184
- 48
Inaelekea kwa Tanzania mtu akifanya mema kwaajili ya taifa nia adui na anaharibu ulaji wa hao wenye roho mbaya. Haiji kichwani mtu anayetetea maslahi ya taifa apigwe vita. Media nyingine zinazoshabikia kuangamizwa kwa taifa, hazifai kabisa, na inafaa wamiliki wa media hizo waone ubaya wao kama wanashabikia kuhujumiwa kwa taifa. Nchi zilizoendelea kama Gewrmany zilisimamia sera hata kama wananchi waliumia kipindi fulani lakini maendeleo yanaonekana, vivyo hivyo kwa nchi zote zilizo serious katika maamuzi kama Angola, Namibia na hata Botwsana. Tanzania mara nyingi kuna watu wanataka umaarufu binafsi bila kujali utaifa. Namshukuru Magufuli kwa kuitetea nchi. Hao wafanyabiashara wanaompiga vita na kushangilia kuharibika kwa barabara ingekuwa nchi za wenzetu angesahau kabisa bisahara na kufilisiwa. Imefikia wakati kuwa na viongozi wenye mapenzi na nchi siyo manufaa binafsi. TANZANIA ITAJENGWA NA WENYE MOYO, TUWASAPOTI HAO WACHACHE WENYE NIA THABITI!