Arusha wamvua nguo MIzengo Pinda!!

Arusha wamvua nguo MIzengo Pinda!!

Mkuu NasDaz Nimekuelewa vzr, kwamba ukweli unabaki palepale kuwa iwapo gari lilipimwa mara ya kwanza (mzani wa kwanza) na kuwa 8tonnes@Axle = tonnes48 (iwapo gari lina Axles 6), na iwapo itatokea kuwa kuhama kwa mzigo kutikisika kutokana na mwendo na kufika mzani wa pili na Axle 1-6 zina tonnes 6:6:9:9:9:9 hapa tatizo si ubovu wa mzani! ila ni suala la hesabu ya kujumlisha, sasa Pinda inakuwaje? hakuchanganya na akiri zake? alikubali za kuambiwa za upande mmoja tu? labda kama kuna jingine iwapo sisi TZ ndio tulikuwa na uzito wa juu kuliko wengine (EA) na bado wasafirishaji wetu wanapinga
Sawa sawa! Kutokana na system yenyewe ni kwamba uzito inabidi uwe equally distributed throughout all axles. Sasa kwa mfano hawa ndugu zetu wanataka iwepo mizani moja tu pale bandarini wakati kuanzia Kurasini hadi ubungo na maeneo ya Chang'ombe kote kumejaa maghala. Yaani wanataka wapime pale bandarini, wakitoka hapo wapitie kwenye maghala yao na kuongeza mzigo kisha waendelee na safari bila kukaguliwa tena!
 
Kama kweli tuna uzalendo na nchi hii, tungepigania reli ifanye kazi ili hata wakigoma, shuguli kubwa ya uchukuze iendelee kufanywa na treni. kwa bahati mbaya watunga sera wa nchi hii ndio wenye malori, hao ndio wanaolihujumu shirika la reli, naamini kuwa hata huyo Pinda anayo malori yake kadhaa ndio maana alitumia madaraka yake kuwaruhusu bila kujali hasara wanayosababisha.
 
Back
Top Bottom