Arusha wajipanga kumpokea RC Makonda

Arusha wajipanga kumpokea RC Makonda

Etwege

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
7,315
Reaction score
18,010
Mnafikiri kama watoto. nchi ambayo Haina umeme , deni limefika tri. 90 makonda atabadili Nini kwa wananchi
Weka huo ushahidi wa Deni la Trilioni 90.au ndio umeshaanza kutetemeka na kuchanganyikiwa kabla mwamba mwenyewe hajakanyaga katika ardhi ya Aro.wewe kama ulikuwa unavuta mibangi kama kichaa ni bora ukaacha mapemaaa sana au uhame kabisa mkoa ,maana kwa sasa wavuta Bangi mwisho wao umefika.
 
Jiji la Arusha ni Makonda kila kona huku wananchi wakifurahia ujio wa RC huyo asiyevumilia uzembe wa aina yoyote ile linapokuja swala la kuwatumikia wananchi.

Wananchi wa jiji la Arusha kwenye mitaa mbalimbali wanasema watajipanga kumpokea Makonda kuanzia Airport ili kutuma ujumbe usio tia shaka kwa mafisadi , wauza madawa ya kulevya na wezi wa magari ya Arusha kwamba mwisho wao sasa umefika.
Hivi Lema bado anajihusisha na hii biashara ya magari?
 
Jiji la Arusha ni Makonda kila kona huku wananchi wakifurahia ujio wa RC huyo asiyevumilia uzembe wa aina yoyote ile linapokuja swala la kuwatumikia wananchi.

Wananchi wa jiji la Arusha kwenye mitaa mbalimbali wanasema watajipanga kumpokea Makonda kuanzia Airport ili kutuma ujumbe usio tia shaka kwa mafisadi , wauza madawa ya kulevya na wezi wa magari ya Arusha kwamba mwisho wao sasa umefika.
Akili za kiccm bana. hapo ulipo Hauna umeme, Hauna Maji, Hauna hela, uko bize kuandika iujinga, . Pumbavu

Nikuulize akiwa mwenezi huko alikopokewa kwa msururu wa magari 120 sasa hivi wamenufaika na Nini??
 
Eti naomba kuuliza. Hivi kumbe wapo watu wazembe ambao hawavumilii uzembe?
 
Arusha
####
Mpokeeni kwa kishindo, RC MPYA, adha zenu za muda mrefu zinakwenda kwisha na kuwa historia, za ngonjera changanyeni na kwenu,
"Arusha iwachane na uanaharakati wa kijinga iende kwenye maendeleo yanayofanania jiji la Arusha "
 
Back
Top Bottom