ANC-KWA ZULU NATAL
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 325
- 38
Ukombozi utaanzia Arusha mkuu...!!!
Tulia uone..
Huna lolote mnafiki wewe. Tunataka siasa safi. Kwani Arusha peke yake ndio cdm inanguvu? Mbona mwanza hatuoni fujo, mbeya je? Kinacho waharibia cdm ni ufinyu wa akili wala sio CCM.
CCM hawana hata meno wakisikia Moshi ndio kwanza wanapeleka kila msaada wakifikiri kuna siku mkono utadondoka wachukue Moshi,moshi CCM wanajiharishia wakiisikia sasa unatuambia ni wewe mnywa viroba vya CCMKaka mbowe apeleke vurugu moshi na kna lema huwez kuharbu ajra za vjana ukasema ndio ukomboz huu ni upumbavu kwa nn kna lema na mbowe wasiende vwanja vya tpc,na moshi ushrka kwenda kuhandamana zlpo biashara zao wasituletee upumbavu arusha tumechoka polis wawashughulikie hawa jamaa...enz za mkapa huu upuuz usingeweza kuuona kla kukicha arusha vurugu na mahandamano tumechoka wakaandamane moshi
uko sahihi.lakini ccm wakiendelea kutumia vichwa vyao Mzee wa Gombe ,Nchemba Alshababu na mtafuta baba wanapotea.
Huna lolote mnafiki wewe. Tunataka siasa safi. Kwani Arusha peke yake ndio cdm inanguvu? Mbona mwanza hatuoni fujo, mbeya je? Kinacho waharibia cdm ni ufinyu wa akili wala sio CCM.
Yaani wewe inaonekana hata Arusha hujawahi fika!Huna lolote mnafiki wewe. Tunataka siasa safi. Kwani Arusha peke yake ndio cdm inanguvu? Mbona mwanza hatuoni fujo, mbeya je? Kinacho waharibia cdm ni ufinyu wa akili wala sio CCM.
Bahati mbaya siku hizi ukitaka ku.re-seat lazima ufanye masomo yote saba!Habari za watu watokao nyanda za juu kaskazini kuishabikia chadema kwanza wanaonyesha wana ukabila pili wanadai kuwa hawatalipa kodi ya serikali pindi chadema ikichukua inji tra haitawasumbua watoto wetu wapo huko na raisi lazima atoke kaskazini hao wengine wanatafuta umaruufu tu hapa chadema.
sasa nawauliza hiyo serikali itakuwa ya kibaguzi wao wasilipe wengine wasilipe je hiyo ni haki?
Habari za watu watokao nyanda za juu kaskazini kuishabikia chadema kwanza wanaonyesha wana ukabila pili wanadai kuwa hawatalipa kodi ya serikali pindi chadema ikichukua inji tra haitawasumbua watoto wetu wapo huko na raisi lazima atoke kaskazini hao wengine wanatafuta umaruufu tu hapa chadema.

uwezo wenu mdogo wa kujenga hoja ndio kaburi leoMbowe ni tapeli.na watakuja kumstukia wakati ambapo hawatakuwa na uwezo wa kumuondoa. Serikali gani itakuwa haina kodi!
bangi ni mbaya sana ndo umeandika nn hapa UKAWA ndo habari ya mjiniHabari za watu watokao nyanda za juu kaskazini kuishabikia chadema kwanza wanaonyesha wana ukabila pili wanadai kuwa hawatalipa kodi ya serikali pindi chadema ikichukua inji tra haitawasumbua watoto wetu wapo huko na raisi lazima atoke kaskazini hao wengine wanatafuta umaruufu tu hapa chadema.
sasa nawauliza hiyo serikali itakuwa ya kibaguzi wao wasilipe wengine wasilipe je hiyo ni haki?
uwezo wenu mdogo wa kujenga hoja ndio kaburi leo
mbowe ni tapeli alipora baba yako mama yako au una wivu sana kama mwanamkeMbowe ni tapeli.na watakuja kumstukia wakati ambapo hawatakuwa na uwezo wa kumuondoa. Serikali gani itakuwa haina kodi!
mbowe ni tapeli alipora baba yako mama yako au una wivu sana kama mwanamke