Arusha tumepigwa bao tena?

kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi ------ atimaye anashuhudia ccm inamfia mikononi
 
Walifikiri mabomu ya machozi na maji ya kuwasha ndio yanayopiga kura. Kwi kwi kwiii wapi zomba & co? Natania jamani msinirarue kwa vitu vyenye ncha kali! Lol!
 
Last edited by a moderator:
anamkumbuka shostito wake Sheikh Yahya Hussein, huenda majini yake yangesaidia ushindi
 
Walifikiri mabomu ya machozi na maji ya kuwasha ndio yanayopiga kura. Kwi kwi kwiii wapi zomba & co? Natania jamani msinirarue kwa vitu vyenye ncha kali! Lol!

Hukujuwa kuwa chadema ni cha Kaskazini? Wamepumuwa hatujavipoka hivyo viti.
 
Mtu mzima dawa..! Nimemaliza kazi Arusha sasa naelekea Bagamoyo
 
Hukujuwa kuwa chadema ni cha Kaskazini? Wamepumuwa hatujavipoka hivyo viti.
Utajashangaa mageuzi yatakapohamia kati na kusini, magharibi na mashariki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…