Arusha Technical College (ATC) Special Thread

eti ni kweli kuwa mwaka wa pili wanafungua chuo novemba kuna dogo mmoja sijamwelewa anasoma hapo
Ndio anaingia Second year? Chuo tunafungua Mwezi wa nane wote
 
anaingia mwaka wa pili ndio sijui kwann anasema ni novemba
Hamna Kitu ka icho chuo wote ni mwezi wa nane wote,Serikali ili prosper academic year ianze October lakini Imekatliwa
 
ok so mwanzo kulikua na taarifa za october sio
 
Msaada mwenye joining instruction ya hapo ATC kuna dogo langu atakuja kusoma hapo Lab
Unaweza nitumia whatsapp 0686898048
 
Back
Top Bottom