Kumbo El Capitanol
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 286
- 237
Mkuu Bach. sema kampani sina huko labda zje wenyewe.Ukipata kampani Good, Uko Beng au diploma?
Mkuu Bach. sema kampani sina huko labda zje wenyewe.Ukipata kampani Good, Uko Beng au diploma?
huyu mzee alifanya niwe nanunua daftari la maths kila kipindi chake kikifikaSambayuka
Bach ya course gani? acha ubahili mkuu heslb si watasababisha bna geto ya 40000 itakushinda kweli n boom juu?Mkuu Bach. sema kampani sina huko labda zje wenyewe.
Electrical &biomedical!!! Hahah si unajua wengne tunajisomesha wenyewe mkuu family support hatuna bana bt semister ya kwnz ndio inakuwaga inabana kidogo !!Bach ya course gani? acha ubahili mkuu heslb si watasababisha bna geto ya 40000 itakushinda kweli n boom juu?
Usijali tutawasiliana basi mkuuElectrical &biomedical!!! Hahah si unajua wengne tunajisomesha wenyewe mkuu family support hatuna bana bt semister ya kwnz ndio inakuwaga inabana kidogo !!
jamani nauliza yakuwa je majibu kwa waliochaguliwa yatatumwa kwenye website yao au kwenye email zetuStandard ni 40K boss Apo ni Karibu na college tu
Both Either upigiwe simu ila pia kwa Website ya chuo yatawekwa, Madogo wa Direct from school wao majina yao na Join vipo kwa web ya chuo atc.ac.tzjamani nauliza yakuwa je majibu kwa waliochaguliwa yatatumwa kwenye website yao au kwenye email zetu
biomedical kumbe kuna bachelor yakeNpe details za kushiba Mkuu kuhusu bach ya electrical and biomedical inayotolewa hapo.
Ndio imeanza mwaka huu mkuubiomedical kumbe kuna bachelor yake
mi nnehiyo bachelor ya electrical and biomedical kama una diploma ya civil ni miaka ngapi???
Ni Bach of electrical & biomedical equipment ...here we deals with biomedical equipment as a part so kupitia hii electrical engineers wa ATC fursa zitaongezeka watafit hadi mahospitalini.biomedical kumbe kuna bachelor yake
Mbona mapema mno mkuujamani majibu nasikia yametoka kwa wale walio apply chuo cha atc
ni habari za kweli au waongo tu
Et waliochaguliwa mwaka huu diploma ya mechanical engineering wanatakiwa kuripoti chuo tarehe ipi.
"the best never rest"