Arusha Stadium kufurika 30/5/2015, Ni mkutano wa hadhara wa Lowassa

Status
Not open for further replies.
Niko hapa Dodoma katika chuo kimoja ambacho wanafunzi nao waliorodheshwa majina wiki chache zilizopita ila wapelekewe Dodoma.Hii habari ya mzee wa Lumumba si uzushi.
 
CCM inaelekea kubaya zaidi na zaidi kila kukicha. Hapa Dodoma,Waziri Sophia Simba anahaha kukusanya na kusafirisha makada na wananchi wa kawaida kwenda Arusha. Wasafirishwa wanapewa sh.30000 na watakapofika Arusha malipo mengine yatafanyika.

Kesho,Ndugu Edward Lowassa anatangaza nia ya Urais huko Arusha. Sophia Simba anawasafirisha watu mchana wa leo kwenda Arusha,kutoka hapa Dodoma kwenda kwa Lowassa. Pesa inamwagwa vilivyo.

Hivi ndivyo uungwaji mkono unavyopaswa kuwa? Lowassa anaendelea kujidhihirisha jinsi asivyofaa kwa kutaka kuununua Urais. Fisadi aogopwe kama acid!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Kanda ya Kati)

Mtatumika sana kumchafua Lowassa lkn hamtafanikiwaaaa
 
Nyie ongeeeni mwishoni akipitishwa ndio mtajua kuwa alikuwa anajua kile anachofanya
 
Lowasa kama Lowasa hana tatizo ila nikiangalia walioko nyuma yake nakuwa na maswali kama kweli ana uhalali wa kuwa rais wa hili Taifa, juzi huyu mama anawaaambia wabunge wa upinzani wanawashwa!!!! Huyu ni waziri wa jinsia na watoto, mdomo mchafu. Kuna nyoka wa makengeza, mzee wa vijisenti Chenge, kuna Rostam fisadi papa, kuna Serukamba ambae alishatoa nae matusi ya nguoni kwa watu. Yaani safu siyoooo!! Lowasa umechemka.
 
uwii tanzania naionea huruma sanaa

Ivi jaman naomba kujuzwa ivi kweli izo hela za lowassa ni nyingi kiasi gani ambacho haziwez kuisha wala kupungua? afu je ivi hana uchungu nazo hata kidogo?

ivi ikulu kuna biashara gan ambayo anauhakika atalkwenda kuifanya iweze kurudisha izo ela zote anazotumia?

afu ha ajabu mbona kila siku yanasemwa kagawa pesa mara sijui nini lkn kila uchwao watu mtaani ni maskin wa kutupwa na sijawah kukutana na hata mmtu mmoja akasema leo ninazo hizi apa lef 2 toka kwa lowassa?

na je mbona huo mgao basi haujafika kwangu? ama mimi nami sio mtanzania?
 
Na mzee wa vifungo vya koti yeye anatangazia nia BoT Hall bunda ..yaani kama kikao cha send off
 
Sasa hv ukitaka kiki ya kitu chochote ww taja jina la lowassa..pheeeeewwww jamaa anawapeleka mpela mpela sana asee.. Ila kuna msemo unasem if you cant defeat them....join them.
 
Ninaomba nikueleze namna gani unanisikitisha kwa kutokuthamini muda na fursa ambazo Mungu anakupa. Kuna watu wanatamani wawe na uwezo wa ku access media ili waseme kwa jamii masuala wanayoyaamini, kuyaona na kutamani watu wengi wayafahamu. Lakini wewe unapata uwezo wa kutumia fursa hii halafu una abuse, utakuja kukumbuka ninayoyoasema.

Mtoa mada katoa hoja, na si hii peke yake, watu mbalimbali wametoa taarifa kwa wanayoyoana juu ya ufirauni wa watu mbali mbali akiwemo Lowasa, wametoa vithibitisho na si mifano, halafu wewe unadhani kutukana ndiyo kukanusha hoja. Inashangaza!!!!!!!

Unatakiwa ujibu kwa hoja.

1. Uelezee kwamba Sofia Simba anakusanya watu wale kwa kuwa walikuwa wamemshawishi awaunganishe kwenda kwa Lowasa kwa sababu anafhamika yuko na Lowasa.

2. Waambie watu zile shillingi 30,000/= wanazopewa na Sofia Simba ni za nini kama wanauwezo wa kujigharimia kwa ridhaa zao na si umasikini kwenda kwa mpenzi wao Lowasa. Na Sofia Simba hizo fedha kazipata wapi za kugawa namna hiyo.

3. Waeleze watu usafiri na malazi pamoja na matumizi mengine wakiwa Arusha nani atalipa, ikiwa hata 30,000/= ya kuondokea Dodoma na usafiri hawawezi kujigharimia.

4. Jibu kwa ufasaha kwamba malipo yanayosemwa yatafanywa Arusha, yatafanywa na nani na kwa maslahi ya nani, na hizo fedha zitakuwa zimetoka wapi?

5. Jana tu Chuo cha Ualimu Patandi, wakala wa Lowasa amekurupushwa na mkuu wa Chuo akiandikisha watu wanaotaka kwenda kwa lowasa, kwamba usafiri watapewa na fedha wataliipwa ili wakamshangilie Lowasa. Hizo fedha za kusafirisha na kulipa Washangiliaji wa Lowasa nani anazitoa?

6. Utaonyesha kiwango kikubwa cha maturity ikiwa utakuwa na uwezo wa kukanusha hoja kwa hoja ama ufafanuzi badala ya aibu hii ya kutukana watoa hoja bila hoja.

7. Usisahau kuzungumzia wale waliokwenda kumshawishi nyumbani kwake kutoka sehemu anuai za nchi, huku wakiwa hawafahamiani na wakiwa wamevaa Tshirts za Lowasa, ambao walisemwa kila mtu ka print ki kwake na Lowasa hakuwa akijua ujio wao ila akawa ameandaa mahema na viti na chakula cha kuwatosha!.

Njoo na hoja ujibu haya maswali kisha tuendelee na mjadala.

Kwa kujibu hoja na kutoa fafanuzi unaweza kuongeza mashabiki na wapenzi wa Lowasa kwa kuwa watakuwa wamepata ukweli. Lakini kutukana bila hoja, unawafukuza wengi wenye akili wataona kambi ya Lowasa haina ukweli ila imejaa hila na watu wasakatonge ambao hawana sifa wala uwezo wa kuelewa hata kujifahamu wanafanya nini zaidi ya bora mkono uende kinywani.

Ninaomba ufahamu, mnachokifanya hapa cha kukwepesha hoja, na kutukana watu wanaosema yanayoonekana, mnazidi kuanika uelewa wenu mdogo, na kwamba mnatumika na mafisadi il mradi mpate 30,000/= na pilau, bila kufahamu wala kujali hatari inayoweza kuikumba nchi kwa kumilikiwa na mafisadi.

Utakuwa.unaharisha wwwe
 
Kama kuna watu wanakubali kusombwa na kupelekwa kwenye mikutano ya CCM basi CCM bado inapendwa hao watu wangekataa kila sehemu tungejua CCM watu wameichoka lakini wanakubali basi UKAWA kazi wanayo.
 
CCM inaelekea kubaya zaidi na zaidi kila kukicha. Hapa Dodoma,Waziri Sophia Simba anahaha kukusanya na kusafirisha makada na wananchi wa kawaida kwenda Arusha. Wasafirishwa wanapewa sh.30000 na watakapofika Arusha malipo mengine yatafanyika.

Kesho,Ndugu Edward Lowassa anatangaza nia ya Urais huko Arusha. Sophia Simba anawasafirisha watu mchana wa leo kwenda Arusha,kutoka hapa Dodoma kwenda kwa Lowassa. Pesa inamwagwa vilivyo.

Hivi ndivyo uungwaji mkono unavyopaswa kuwa? Lowassa anaendelea kujidhihirisha jinsi asivyofaa kwa kutaka kuununua Urais. Fisadi aogopwe kama acid!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Kanda ya Kati)

Mzee Tupatupa ninawasiwasi na USALAMA wako huko.Jiangalie sana maana hizi TEAM MAFISADI ni shida kweli kweli....Kwani wao hawajui kuwa huko hakuna MSAFI?Na Maembe naye nasikia pesa yake itatoka huko MASHARIKI Kati..........Sasa hiyo donation ni ya nini kama siyo ya kumwagia wajumbe na wapiga kura?

Kwa uhakika RAIS MSAFI hawezi toka CHAMA CHETU CHA MAFISADI............
 
Umepewa Sh ngapi na Lowassa maana umetaja sifa zake lakini ufisadi alioufanya RICHMOND hujasema Acha una tiki pesa zitawaua CCM. Makini haiwezi kumpitisha mgombea urais fisadi. Lowasssa ni fisadi na dunia nzima inakuwa hivyo .
 
Sina shaka Mama Simba anacheza karata ya Kisiasa kwahiyo hakuna mbaya kuunga mkono EL 2015. Viva EL2015 viva TZ Viva Utajiri.
 
uwii tanzania naionea huruma sanaa

Ivi jaman naomba kujuzwa ivi kweli izo hela za lowassa ni nyingi kiasi gani ambacho haziwez kuisha wala kupungua? afu je ivi hana uchungu nazo hata kidogo?

ivi ikulu kuna biashara gan ambayo anauhakika atalkwenda kuifanya iweze kurudisha izo ela zote anazotumia?

afu ha ajabu mbona kila siku yanasemwa kagawa pesa mara sijui nini lkn kila uchwao watu mtaani ni maskin wa kutupwa na sijawah kukutana na hata mmtu mmoja akasema leo ninazo hizi apa lef 2 toka kwa lowassa?

na je mbona huo mgao basi haujafika kwangu? ama mimi nami sio mtanzania?
Pasco sikiliza kilio cha mtu mzima hiki, hata mimi nashangaa mnanipita tu tusiogopane jamani hata mimi bahasha ya kaki naitaka.
 
Last edited by a moderator:
CCM inaelekea kubaya zaidi na zaidi kila kukicha. Hapa Dodoma,Waziri Sophia Simba anahaha kukusanya na kusafirisha makada na wananchi wa kawaida kwenda Arusha. Wasafirishwa wanapewa sh.30000 na watakapofika Arusha malipo mengine yatafanyika.

Kesho,Ndugu Edward Lowassa anatangaza nia ya Urais huko Arusha. Sophia Simba anawasafirisha watu mchana wa leo kwenda Arusha,kutoka hapa Dodoma kwenda kwa Lowassa. Pesa inamwagwa vilivyo.

Hivi ndivyo uungwaji mkono unavyopaswa kuwa? Lowassa anaendelea kujidhihirisha jinsi asivyofaa kwa kutaka kuununua Urais. Fisadi aogopwe kama acid!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Kanda ya Kati)

utakuwa unashirikiana naye. maana sielewi kama na wewe umepewa au la
 
CCM inaelekea kubaya zaidi na zaidi kila kukicha. Hapa Dodoma,Waziri Sophia Simba anahaha kukusanya na kusafirisha makada na wananchi wa kawaida kwenda Arusha. Wasafirishwa wanapewa sh.30000 na watakapofika Arusha malipo mengine yatafanyika.

Kesho,Ndugu Edward Lowassa anatangaza nia ya Urais huko Arusha. Sophia Simba anawasafirisha watu mchana wa leo kwenda Arusha,kutoka hapa Dodoma kwenda kwa Lowassa. Pesa inamwagwa vilivyo.

Hivi ndivyo uungwaji mkono unavyopaswa kuwa? Lowasw

WEWE MZEE NI MNAFIKI SANA........
eti pesa inamwaga vilivyo,weka video tuone hiyo pesa ikimwagwa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom