Umesahau signature yako we si unawataka waje waifuate nyumbani endelea kusubiri lol...uwii tanzania naionea huruma sanaa
Ivi jaman naomba kujuzwa ivi kweli izo hela za lowassa ni nyingi kiasi gani ambacho haziwez kuisha wala kupungua? afu je ivi hana uchungu nazo hata kidogo?
ivi ikulu kuna biashara gan ambayo anauhakika atalkwenda kuifanya iweze kurudisha izo ela zote anazotumia?
afu ha ajabu mbona kila siku yanasemwa kagawa pesa mara sijui nini lkn kila uchwao watu mtaani ni maskin wa kutupwa na sijawah kukutana na hata mmtu mmoja akasema leo ninazo hizi apa lef 2 toka kwa lowassa?
na je mbona huo mgao basi haujafika kwangu? ama mimi nami sio mtanzania?
Salaam ndugu.
Karibu kujiunga nasi Jumamosi hii pale Sheikh Amri Abeid, Arusha tutakapojumuika na watanzania kuanza rasmi safari ya matumaini. Karibu sana
Mtatumika sana kumchafua Lowassa lkn hamtafanikiwaaaa