emberegenyi
Member
- Mar 6, 2017
- 35
- 29
Nadhani japo sina uhakika Sana, meya wa kwanza mweusi alikuwa Joe Maeda.Historically, Watu wa Klm waliijenga Arusha kuanzia mwaka 1990 tu-
ILA, Kabla ya hapo majengo yote makubwa ya kwanza Arusha yalijengwa na wenyeji chini ya Vyama vya uuzaji wa NGOZI na KAHAWA.
Mfano Arusha Coffee Union (ARCU)
shule kubwa ya Ilboru, Mringa, Moringe pamoja na kanisa la Ilboru na Salei yalijengwa na wanawake wa kimasai (kuna kitabu cha refference)
Kule Monduli, tayari Edward Sokoine alishaidesign halmashauri ya Monduli pamoja na Bus stand kabla hata ya serikali kufanya hayo.
Unajua hilo?
Uongozi wa Meya wa kwanza mweusi wa Arusha, Letawo Laizer (Don King) pia ndio ulioudesign jiji la Arusha kwa upande wa Clock tower kule na posta ya Meru.
Kilimanjaro chini ya uongozi wa Mareale na (KNCU) ndio kabisaa walishaendelea...kabla ya uhuru tayari walikuwa na shule za secondary zaidi ya 38, barabara nzuri, system nzuri za maji n.k
Soma Historia...!
LONGLIVE & BIG UP WANAKASKAZINI
[emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109]
Kuhusu chakula ni kweli kwasababu, tunakula vifuatavyo:-Sidhani kama ni kukumbatia wazungu nadhani kuna kitu kingine wanatuzidi mi sio mwanasayansi lakini nadhani chakula tunavyokula pia vina matter kwenye brain development, sababu nyingine pia ni exposure may be walifunguka macho mapema wali interact na nchi jirani n.k instead ya kuwachukia kuna mawili matatu tu naweza jifunza
Mkuu naona unataka kuharibu Uzi wawatuHuyo mwanamke mwenye tako mbinuko na jicho legevu kwenye Avatar yako ni wewe au snura?
That's the point.Mkoa uliotusua Tanzania ni Kilimanjaro, watu wa klm ndio wamejenga Arusha na miji yote muhimu.
Nakataa hoja kwamba Arusha sio Tanzania kwa mara nyingine tena.
Nasisitiza Arusha ni Tanzania
Watu wa pwani na Dsm wanafanana mambo manne:-Watu wa Kenya na Arusha/Kilimanjaro wanafanana mambo mawili
¤ Ukabila/Nepotism
¤Misifa ya kijinga/Tamaa/Kuoza meno
Asee sasa si unaona halafu mji wenyewe hausaidii mapato kwa tanzania.Watu wa Kenya na Arusha/Kilimanjaro wanafanana mambo mawili
¤ Ukabila/Nepotism
¤Misifa ya kijinga/Tamaa/Kuoza meno
Yawezekana Mkuu, niliisoma hiyo kwenye gazeti letu pendwa la Arusha times.Nadhani japo sina uhakika Sana, meya wa kwanza mweusi alikuwa Joe Maeda.
Ukabila / nepotism ipo kila mahaliWatu wa Kenya na Arusha/Kilimanjaro wanafanana mambo mawili
¤ Ukabila/Nepotism
¤Misifa ya kijinga/Tamaa/Kuoza meno
Mji wa wavuta bangi
Lakini wanakaa MASAKI, MIKOCHENI na UPANGA, Ninyi mmekimbia kwenu mmekuja kufuga NGURUWE KIMARA MWISHO !!Watu wa pwani na Dsm wanafanana mambo manne:-
1) UVIVU
2) UZEMBE
3) MAJUNGU
4) PODAAAAAA....!
Dsm ni mkoa pekee wenye makabila karibia yote yaliyopo Tanzania. In short kwa Tanzania, DSM ni mkoa wa Tofauti.Watu wa pwani na Dsm wanafanana mambo manne:-
1) UVIVU
2) UZEMBE
3) MAJUNGU
4) PODAAAAAA....!
HapanaMkuu naona unataka kuharibu Uzi wawatu
Haya rudi upesi kwenye madaHapana
Hahaha...huko wanakaa wakaskazini wengi zaidi.Lakini wanakaa MASAKI, MIKOCHENI na UPANGA, Ninyi mmekimbia kwenu mmekuja kufuga NGURUWE KIMARA MWISHO !!
Usiku mwema Thnuraa.Haya rudi upesi kwenye mada
Acha ujinga...Ni kweli kabisa Mkuu, sababu mojawapo ya maendeleo ya watu wa Arusha ni interaction na Kenyans pamoja na watu wa nje.
Watu wa Arusha hawana ulelemama na uswahili chovu.
Ni kweli lakini wanarorya wana kauboya flan hivi...!Acha ujinga...
Rorya hakuna interraction na Kenya..?
Rombo je......... hawana interaction na Kenya?
Kama wanayo kwanini hawajachangamka kama Arusha?
Ukifikiria utagundua kilichoineemesha arusha ni utalii pamoja na madini na sio hawa wakenya maana hata kwao kumewashinda huo uwezo wa kutuchangamsha sisi wautoe wapi?