Huyo uliyemnukuu ni nani na ni raia wapi? Bila shaka sio mtanzania, tena alitakiwa akamatwe haraka sana baada ya kutoa kauli hiyo bila kujali alimaanisha nini. Kila mtu anajua tumetoa sehemu ili kuweka ofisi za EAC, kwahiyo vikao vinaishia kwenye hizo ofisi tu wasilete upumbavu, mambo ya Arusha ni ya watanzania.