V Kweli Tupu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 951
- 533
Wewe wacha upumbavu wa ukabila, sisi watanzania na there is nothing special about people of Arusha. Tofauti ni mazingira ndiyo yana attract tourism na kuleta maendeleo. Hatahivyo, kimaendeleo Dar iko mbali ukilinganisha na Arusha. Lakini tusiwe tunakandiana na kujenga chuki baridi wakati tunaishi nyumba moja. Chachu kidogo uchachua donge zima, tukianza umimi na ukabila tutakuza chuki zisizo na faida kwa nchi yetu.Hahaha...kuniita gasho hakuondoi ukweli kuwa :-
Arusha ni pa kipekee...kwa Wafanya kazi, Wapenda kwao, Wanaojitambua.
Sio Wapaka poda, Mashoga, washinda vibarazani na Marioo.
Mama yako mzazi haishi kusifia hili hogo...sasa wewe kutaka kushare naye atakuachia laana wewe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1]
Au aonyeshe miguu yake ya kimeru, membamba kama fimbo ya babu![emoji23] [emoji23]Mwambie atoe hiyo miwanja, na lipstic na hicho kilemba af atabasamu kdogo tuone uhalisia wake...kama hajakimbia jukwaa...
Kekerenkedee....!Wewe wacha upumbavu wa ukabila, sisi watanzania na there is nothing special about the people of Arusha. Tofauti ni mazingira ndiyo yana attract tourism na kuleta maendeleo. Hatahivyo, kimaendeleo Dar iko mbali ukilinganisha na Arusha. Lakini tusiwe tunakandiana na kujenga chuki baridi wakati tunaishi nyumba moja. Chachu kidogo uchachua donge zima, tukianza umimi na ukabila tutakuza chuki zisizo na faida kwa nchi yetu.
Tutake radhi na futa kauli yako kuna maaskofu na masheikh Arusha .Mji wa wavuta bangi
Cha Arusha ..Tutake radhi na futa kauli yako kuna maaskofu na masheikh Arusha .
Haujaelewa kinachoendelea, ishu hapa sio wachaga.Mada inazungumzia Arusha, lakini watu wengi ambao cyo wa Kaskazini wameingia moja kwa moja kutukana Wachaga (watu kutoka Kilimanjaro), cha ajabu uzi hajaanzisha mchaga. Ina maana kwamba mchaga anaishi na kufanya maendeleo Arusha na Kilimanjaro pekee?! Mtu yeyote kutoka kabila lolote unachukia Wachaga kama kabila ilhali wao hawakuchukii wewe, una wivu juu ya watu hawa. Hakuna acyejivunia kwake. Tena hapohapo ulipo kuna mchaga, kama ww cyo mnafiki anza nae huyo mmoja mweleze kisa cha chuki zako.
Umetumia maneno ya kibaguzi na kuwa stereotype makabila mengine kama wavivu, waswahili n.k.Kekerenkedee....!
Wewe umeona nilipozungumzia ukabila au una jipu ubongoni?
Unaweza kuthibitisha mahala nilipozungumzia ukabila?
Hahaha...huko wanakaa wakaskazini wengi zaidi.
Nyie waswahili zenu ni mwananyamala, Tandale, Manzese na wengine mmetupwa nje ya jiji kabisa
UKWELI UNAUMA....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Watu wa pwani na Dsm wanafanana mambo manne:-
1) UVIVU
2) UZEMBE
3) MAJUNGU
4) PODAAAAAA....!
Ukiendelea na hayo mawazo yako, Kuanzia leo wewe ID yako hapa JF itakuwa ni shoga (punga) wa kijijini arusha.Kekerenkedee....!
Wewe umeona nilipozungumzia ukabila au una jipu ubongoni?
Unaweza kuthibitisha mahala nilipozungumzia ukabila?
Hahaha...huo utoto wanatishiwaga wapaka poda wa Dsm na machoko wakaao vibarazaniUkiendelea na hayo mawazo yako, Kuanzia leo wewe ID yako hapa JF itakuwa ni shoga (punga) wa kijijini arusha.
Nakuona tu jinsu ulivyochakazwa malinda huko kijijini arusha.
arusha pakawaida sana shoga, hivyo mawazo yako mfu kudhani kuna kitu cha ajabu hapo arusha futa kichwani kwako.
Tanzania ni nchi moja hakuna mkoa ulio bora kuliko mwingine na hakuna mkoa ulio kamilika kwa kila kitu hivyo sisi kama watanzania hatuna haja ya kubaguana kwa ukabila au ukanda.
Hahaha...aisee nyie wapaka PODA mnachekesha sana.Umetumia maneno ya kibaguzi na kuwa stereotype makabila mengine kama wavivu, waswahili n.k.
Kama hujitambui soma tena maneno unayoandika yaani ni mtu mwenye chuki, uchochezi na dharau.
Labda jipu la ubongo limekuota wewe ndiyo maana povu halikuishi!
Hahaha...huo utoto wanatishiwaga wapaka poda wa Dsm na machoko wakaao vibarazani
Mimi napenda uibadilishe hata sasahv...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hakuna mahali kama Arusha, endelea kuumia mpaka upasuke.
Vp mama yako kakutuma pia ulionje hili hogo?
Hakuna mahali kama Arusha, Tanzania hii.
Hahaha...aisee nyie wapaka PODA mnachekesha sana.
Sasa hapa waliojawa POVU ni kina nani kama si wewe na mwenzio?
Kisa tunasema hakuna mahali kama Arusha?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shoga (punga) wa kijijini arusha pole sana waambie na mashoga wenzako wa kijijini arusha kwamba hayo ni mawazo mfu.Arusha kuzuri sanaaa...mwisho wa thread.
Mimi nimekubali ushoga na kila kitu.Shoga (punga) wa kijijini arusha pole sana waambie na mashoga wenzako wa kijijini arusha kwamba hayo ni mawazo mfu.
arusha pakawaida sana
Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza, kulikoni jiji la Dar limejaa machangu toka arusha, kunani arusha?Arusha kuzuri sanaaa...mwisho wa thread.
Sawa Shoga la Dsm...mpaka poda.Shoga (punga) wa kijijini arusha pole sana waambie na mashoga wenzako wa kijijini arusha kwamba hayo ni mawazo mfu.
arusha pakawaida sana
Unakubalije ushoga wakati ushoga wameuanzisha na kuukomaza hao hao watoto wa Dsm?Mimi nimekubali ushoga na kila kitu.
Kumbe kuwaita wapaka poda nyie Machoko wa dsm ndio imekuuma?Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza, kulikoni jiji la Dar limejaa machangu toka arusha, kunani arusha?
mwisho wa thread