Ni kweli kabisa Mkuu, sababu mojawapo ya maendeleo ya watu wa Arusha ni interaction na Kenyans pamoja na watu wa nje.Wewe huwa unahesabu A-city kama Tanzania, hujajiuliza mbona watu wa pale wapo kwenye level nyingine kwa kila kitu ikiwemo kujitambua kisiasa. Tanzania yote mngekua na hulka ya watu wa Arusha aisei tungekua tunasoma namba sisi majirani zenu.
Kawaida kama unaendesha gari na kuingia Arusha mtu huwa anahisi kama yupo Nairobi vile. Ukiangalia wanavyochangamka na kuchakarika.
cheee!Mji wa wavuta bangi
Labda uuvunje wwFederal Capital Territory ? Kwa hiyo muungano ukivunjika Arusha inabaki wapi ?
nakubali hoja yako. nngekuwa na uwezo ningefanya mapinduz...arusha and moshi iko tofaut sana na wabongo wa huku pwani. nashaur mombasa ije tz na arusha na moshi tuipeleke kenya. cjui kwa nn kenyatta hakufight kipindi kileeee. afu pia wahaya hawajafanana na wazaramo kabisa..hivi obote na idd amini walizidiwaje ujanja na mwalimu? dah niutani tu modes usinipige ban. au ndugu unamawazo gan ww?Wewe huwa unahesabu A-city kama Tanzania, hujajiuliza mbona watu wa pale wapo kwenye level nyingine kwa kila kitu ikiwemo kujitambua kisiasa. Tanzania yote mngekua na hulka ya watu wa Arusha aisei tungekua tunasoma namba sisi majirani zenu.
Kawaida kama unaendesha gari na kuingia Arusha mtu huwa anahisi kama yupo Nairobi vile. Ukiangalia wanavyochangamka na kuchakarika.
Federal Capital Territory ? Kwa hiyo muungano ukivunjika Arusha inabaki wapi ?
Itabakia chinaFederal Capital Territory ? Kwa hiyo muungano ukivunjika Arusha inabaki wapi ?