Arusha: Rufani ya Sabaya yapokewa Mahakama Kuu

Kwani lugemalila alikuwa gaidi la magaidii kama jamaaa yenuu??

Hebu nithibitishie huyo unayesema ni gaidi, ni gaidi kweli!!
Sabaya ni jambazi, tena yeye ndiye gaidi haswa yani! Ataozea jela huyu mme wako...
 
Akishindwa aongezewe mingine 30 kwa kuisumbua mahakama,anaogopa nn kukaa jela mbona yye kaweka watu ndani
 
Yaani hawa mawakili wameamua kula pesa za jambazi. Maana hapo sasa mvua zinakwenda kuongezeka hadi 60. Hakuna jinsi Sabaya ana chomoka kwenye mashtaka.
Sabaya anataka kuibishia cctv.
Sabaya na bashite ushahidi wao uhitaji tochi kama ushahidi wa Mbowe
 
Back
Top Bottom