Akili za Kichawi Hizibado Hukumu ya Kesi ya Uhujumu Uchumi tarehe 31 ambayo hachomoi lazima agongwe miaka 30 Jela ***** zakeyote kwa yote hata akija kutoka Jela naamini akili itakuwa imemkaa vizuri na wenge lote limemtoka,hata akiona Kuku atakuwa anapiga magoti na kutoa shikamoo,kule Jela Kisongo Manyapara yameshamtoa marinda yote kawa Choko tu sasa hivi ubabe wote kwisha habari yake,chezea Jela wewe,hahaha
Jambazi sugu Sabaya anazo kesi nyingi sana yule atazeekea jela. Huwezi kufanya ushezi kama aliofanya yeye halafu ukaachwa tu.Ni wizi tu na kulipiziana visasi