ARUSHA: Rais Magufuli awatunuku Kamisheni maafisa wapya 422, atangaza nafasi 3000 za wanajeshi wapya

Hotuba za mh.rais ni copy and pest hivi hakuna mambo mengine kila siku hewa, hewa ,hewa.
Nimeanza kukuchukia mjomba sherehe za Jeshi zinaunganishwa na siasa hili ni tatizo na mjomba umeamua kuongeza kikosi cha vijana elfu 3 walete tu ili ujiimalishe.
 
Wakati ametoa nafasi ya watu wa Arusha kutoa dukuduku Lao kupitia mabango

Alimuita Mrisho Gambo huku akiuliza watu wako wapi?

Mrisho sijui akamjibu nini

Magufuli kwa bahati mbaya bila kujua microphone zipo on akasema ni wapumbavu kabisa.

Mrisho Gambo ni watu gani hao wameitwa Wapumbavu na Magufuli?
Tumeisikia wote hiyo
 
Wakati ametoa nafasi ya watu wa Arusha kutoa dukuduku Lao kupitia mabango

Alimuita Mrisho Gambo huku akiuliza watu wako wapi?

Mrisho sijui akamjibu nini

Magufuli kwa bahati mbaya bila kujua microphone zipo on akasema ni wapumbavu kabisa.

Mrisho Gambo ni watu gani hao wameitwa Wapumbavu na Magufuli?
Mods huu uzi mmeunganisha huku ili iweje kuna uhusiano gani wa watu kuitwa wapumbavu na maafisa walio tunukiwa nishani?

JamiiForums Paw
 
Hakika sijafuruhishwa kabisa na tukio hilo kwa hawa Maafisa wapya kupewa Kamisheni huku sherehe zikitawala mambo ya kisiasa huku tunajua kabisa tuliamua wenyewe kuondoa Siasa majeshini.

Hongera kwa maofisa wapya lakini hilo la Siasa ndani ya sherehe hizi ni dosari kubwa na next time isirudiwe tena tutaharibu nidhamu ya makamanda wetu na askari wetu.

Nampenda Dr Magufuli kwa utendaji wake wa kazi kwasababu ndiko nimekulia hivyo toka nazaliwa lakini kwa tukio hili Kuna makosa ya kiitifaki yamekosewa.

Dr Magufuli angepangiwa siku nyiengine kwa kupokea wsnachama toka vyama vingine kwenda CCM lakini si siku ya leo ya kukamisheni maafisa wapya.
 
Leo katika sherehe za kutunuku kamisheni kwa maofisa wa JWTZ nimeshudia madiwani wa CHADEMA wakirejesha kadi na kuhamia CCM. Hakika Mh. Magufuli wewe ni Jembe. Nina uhakika hadi 2020 hakutakuwa na kitu kinatwa CHADEMA. Maana naona unazidi kubomoa ngome za CHADEMA.
 
Back
Top Bottom