Jembe Jembe
JF-Expert Member
- Jun 9, 2016
- 749
- 1,797
ukuta ndio umeleta haya ..umesaidia sanaUkuta hausaidii?
Wataambiwa warudi CCm wasamehewe
Wanaficha madini? Kivipi yaan
Kwahiyo kama madini ni yangu niyapeleke wapi kwa mfano?
Shwain
Mkuu nafikiri askofu anaezungumzwa hapa sio hawa viongozi wa kidiniYoyote anayehusika kuhujumu haijalishi kiongozi wa dini....sheria ifuate mkondo wake na madini yataifishwe kbs
MkuluWanaficha madini? Kivipi yaan
Kwahiyo kama madini ni yangu niyapeleke wapi kwa mfano?
Shwain
Huyo marehemu anamiaka karibia 12 hajawahi kutoa tanzanite,nachojua hapo hotelini kunaishi wathailand wananunua ruby ya mundarara ndio wenye huo mzigoTunapitia kipindi kigumu kama taifa. Sishangai madini kukutwa ndani, najiuliza yalivukaje ukuta?
Mundarara ndio nini mkuuHuyo marehemu anamiaka karibia 12 hajawahi kutoa tanzanite,nachojua hapo hotelini kunaishi wathailand wananunua ruby ya mundarara ndio wenye huo mzigo
Yoyote anayehusika kuhujumu haijalishi kiongozi wa dini....sheria ifuate mkondo wake na madini yataifishwe kbs