ARUSHA: Polisi yanasa shehena ya Madini ya Tanzanite katika hotel ya Askofu

wenye ujuzi waje hapa je sheria ya madini inalazimisha mtu kuuza madini yake au anaweza kuyahifadhi ndani kwa miaka kadhaa
 
Ngozi nyeusi tabu sana,kuna ubaya gani nikikaa na madini niuze mwakani 2020?
Hapo unakuta beberu yeye anajichotea tu tena anayapeleka kuuza Bondeni kwa Madiba.
Watu weusi tuna matatizo mengi sana.
 
Alikuwa anajidai yy ni chchiem kindakindaki ,nakumbuka hata mauti yalimoata akiwa kamsindikiza mbunge aliyemwangusha Nasari ,acha aisome namba
 
Mi nafikiri kodi inalipwa wakati wa kuuza,
ila kama nimetunza haina shida maana sijayauza bado nasubuiri solo lichangamke. Tunaomba mwenye uelewa juu ya hili atuelimishe tafadhari.
Ukitaka kuyatunza kwanza kalipie kodi kisha tunza hakuna shida, tatizo ukayatunze bila kodi ndo yakikutwa huna lisiti ya kodi imekula kwako, wanasema ndo mwanzo.wa kuyatorosha bila kodi.
 
Back
Top Bottom